Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Ooooh ouk poaa poaa.
 
Wabongo mna penda kujipa taharuki za bure hio bendera inekwambia ukafirane? hizi nyuzi zinayakuza haya mambo indirect
Kweli kabisa
Sidhan mtu mwenye akili zake timamu anaweza kuanza huo upuuzi kisa ameona bendera inapepea kama atafanya hivyo hio ni tabia yake
 
Woyoooooo.[emoji12]
Ukisikia high end homo ndo huyu uncle wangu sasa.
Mbaba anashaukwa huyu[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh c ndiwooooo.
 
Ila wewe hata Mwamposa anaweza kukuponya kweli wewe?

Ushaharibika in all senses and wayz.
Kitakachokuponya wewe ni Mungu mwenyewe afanye ishara na miujiza ili utukufu wake udhihirike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sauwaaaaaah
 
Rais ameshalizungumzia hili
Kwamba yale mazuri ya wageni tuyachukue yasiyofaa tuachane nayo
Kwahio hao wageni wamwage pesa zitatumbuliwa tu tunabaki na tamaduni zetu
 

Huo ni ujinga. Huwezi acha kitu chako kisa mwingine anakitafairi tofauti. Kila mtu ana tafsiri yake kwa jambo lake.
 
Moto utamkataza ila ushoga utamruhusu wkt sisi wengine tutaona bora afie kwenye moto kuliko kuwa shoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mtoto wako wee au wangu??
 
Painted the car blue, that's for the sweat and blood ,In my red tennis shoes fool cause the pain is love, I'm bout my green (Green) So my sky's blue (Blue) Purple and the strawberry philly up in my five coupe, Yeah I'm in the yellow boss, they in the white gold You might fold I'm platinum go ask them white hoes, I got black hoes slammin cadillac do's.-------Colors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…