cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ooooh ouk poaa poaa.Mahikaji wangu umezid kujishaua.Sasa ugumu wa maisha si kilio cha wote??Au ndo kusema nyie mna.immune na hii hali ngumu?
Tuachane na hayo
Sijasema wote bana.Nimesema asilimia kubwa.Naamin uko smart kujia tofaut ya wote na asilimia kubwa.
Hata wale watu waliozaliwa warefuuuuu kuna wanaojiua kwa kujiona tofaut na kuna wanaofurahia hiyo abnormality na wanaitumia kumake money