Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Mnahangaika sana na hao jamaa sasa wanachofanya ni kuwaaminisha watu na kuwazoesha kwamba hilo ni jambo la kawaida ila walengwa wakuu ni wajukuu zetu wakati huo Sisi sote hatupo kwenye uso wa dunia na watoto wetu hawapo yaani hapo wanaolengwa ni vitukuu vyetu ndio target yao sasa hivi hawawezi bado tupo imara sana ila next generations kitaisoma namba tena kwa lazima.
 
Udini umeingiaje hapa
 
Wakristo na waislam yapasa tuunganishwe kwa vitu kama hivi.
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Mmmm!!! Hivi nI Wao Donors wahusika wamekuambia au ni Msemaji wa Taasisi hiyo amesema au Ni kwa mtazamo wako wewe mwenyewe? Tupe chanzo cha Taarifa. Hivi rangi hizo kila zikiwekwa pamoja ni lazima iwe ni Ishara ya LGBT.....?????
 
Kwa maelezo haya ina maana bendera iliyowekwa hapo Hospital ni Peace Flag(Purple up,red down).
 
Mmmm!!! Hivi nI Wao Donors wahusika wamekuambia au ni Msemaji wa Taasisi hiyo amesema au Ni kwa mtazamo wako wewe mwenyewe? Tupe chanzo cha Taarifa. Hivi rangi hizo kila zikiwekwa pamoja ni lazima iwe ni Ishara ya LGBT.....?????
Ndiyo ushangae Mkuu! Sidhani kama kuna nchi tunaipita kww kuwa na uelewa finyu.
Watanzania tunaongoza!
 
Ndiyo ushangae Mkuu! Sidhani kama kuna nchi tunaipita kww kuwa na uelewa finyu.
Watanzania tunaongoza!
Afu kudadeki watu wanapenda kudiskas ishu za ushoga!!!! Uzi ushatembea hatareeee.

Ukiona hivi ujue wanapenda.
 
Thuubutu. 1. Unless una uhakika kwamba bendera hiyo inamaanisha hivyo na Kikatiba sio sahihi;
2. Umtake aliyeiweka hapo ndo akaishushe au ww Kamfungulie mashtaka
3. Kapate kibali cha Serikali au Mahakama ili kuiondoa bendera hiyo.
**4. Mkuu; Hiyo Bendera inakuhusu vipi?? Je, uwepo wa bendera hiyo kunakuzuia kwenda kupata matibabu hapo? au Unashindwa kufanya shughuli zako za kifamilia? -Nenda katafute pesa achana na Fitna, Husda,........
 
Nasikia wameitoa bendera lakini tujiulize hiyo wilaya hakuna wana usalama? Bila kuonea yeyote tuchukue hii kama alarm kuwa tayari tumevamiwa! Yumkini hiyo hospital inaendeshwa kwa misaada kutoka huko na imeidhinishwa!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo ushangae Mkuu! Sidhani kama kuna nchi tunaipita kww kuwa na uelewa finyu.
Watanzania tunaongoza!
Kweli kabisa. Inaonekana waTz wana muda mwingi mno(Surplus time)kiasi kwamba hata hawajui wautumieje kwa manufaa yao. Kitu kidogo tu kimeonekana/kimetokea halafu na mtu anakazia shingo, anazua hoja na kutoa mapovu kana kwamba kimemgusa moja kwa moja na kinamwathiri vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…