Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Mnahangaika sana na hao jamaa sasa wanachofanya ni kuwaaminisha watu na kuwazoesha kwamba hilo ni jambo la kawaida ila walengwa wakuu ni wajukuu zetu wakati huo Sisi sote hatupo kwenye uso wa dunia na watoto wetu hawapo yaani hapo wanaolengwa ni vitukuu vyetu ndio target yao sasa hivi hawawezi bado tupo imara sana ila next generations kitaisoma namba tena kwa lazima.
 
Wakati wa OSMAN BEY sidhani kama wangebaki mashoga hapa duniani,,, dunia ingelikua sehemu salama, hata huyo aliesimamisha flag hiyo angejutia alichokifanya

Mama atoe tamko haraka, na kama atalikalia kimya basi waislamu na wasio waislamu tuandamane kupiga vita huu uchafu usiompendeza Mwenye enzi Mungu
Udini umeingiaje hapa
 
Wakati wa OSMAN BEY sidhani kama wangebaki mashoga hapa duniani,,, dunia ingelikua sehemu salama, hata huyo aliesimamisha flag hiyo angejutia alichokifanya

Mama atoe tamko haraka, na kama atalikalia kimya basi waislamu na wasio waislamu tuandamane kupiga vita huu uchafu usiompendeza Mwenye enzi Mungu
Wakristo na waislam yapasa tuunganishwe kwa vitu kama hivi.
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Mmmm!!! Hivi nI Wao Donors wahusika wamekuambia au ni Msemaji wa Taasisi hiyo amesema au Ni kwa mtazamo wako wewe mwenyewe? Tupe chanzo cha Taarifa. Hivi rangi hizo kila zikiwekwa pamoja ni lazima iwe ni Ishara ya LGBT.....?????
 
According to wikipedia;

The most common recent design is a rainbow flag representing peace, first used in Italy at a peace march in 1961. The flag was inspired by similar multi-coloured flags used in demonstrations against nuclear weapons. A previous version had featured a dove drawn by Pablo Picasso.[13]

The most common variety has seven colours—purple, blue, azure, green, yellow, orange, and red—and is emblazoned in bold with the Italian word PACE, meaning "peace".

It became popular with the Pace da tutti i balconi ("peace from every balcony") campaign in 2002, started as a protest against the impending invasion of Iraq. At that time its use was met with criticism from the Italian LGBT community for being too similar to the LGBT six-color gay pride flag (which was originally created in San Francisco California in 1979) and had started being used regularly in Italy a couple of years earlier during the 2000 inaugural WorldPride celebration in Rome.[14] The flag was flown from balconies in all Italian cities by citizens against the war. Its use spread to other countries too, and the Italian Pace was sometimes, but not everywhere, replaced with the corresponding translation in the local languages.

According to Amnesty International, producer Franco Belsito had produced about 1,000 flags per year for 18 years, and suddenly had to cope with a demand in the range of the millions.[15]

Common variations include moving the purple stripe down below the azure one, and adding a white stripe on top.

The seven-color peace flag is not to be confused with the similar six-color gay pride flag, which does not have azure, and has the colors in the opposite order with red at the top.
Kwa maelezo haya ina maana bendera iliyowekwa hapo Hospital ni Peace Flag(Purple up,red down).
 
Mmmm!!! Hivi nI Wao Donors wahusika wamekuambia au ni Msemaji wa Taasisi hiyo amesema au Ni kwa mtazamo wako wewe mwenyewe? Tupe chanzo cha Taarifa. Hivi rangi hizo kila zikiwekwa pamoja ni lazima iwe ni Ishara ya LGBT.....?????
Ndiyo ushangae Mkuu! Sidhani kama kuna nchi tunaipita kww kuwa na uelewa finyu.
Watanzania tunaongoza!
 
Ndiyo ushangae Mkuu! Sidhani kama kuna nchi tunaipita kww kuwa na uelewa finyu.
Watanzania tunaongoza!
Afu kudadeki watu wanapenda kudiskas ishu za ushoga!!!! Uzi ushatembea hatareeee.

Ukiona hivi ujue wanapenda.
 
Kumekuchaaaaaaah
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji626][emoji626]

Inapepea hapo Makiunguu. Hayaa wapingaji uchwaraaa tokeni kupinga au mkashushe bendera pale, km kweli mko serious.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtabaki kulia kwaa Keyboard, na badooo mnavojifanyaa kupiga kelelee, ndo na wao wanazidi kuwaonesha hadharani.

Mwenye nguvu ndo atajulikana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halllah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
PEACE [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
4 life forever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
Thuubutu. 1. Unless una uhakika kwamba bendera hiyo inamaanisha hivyo na Kikatiba sio sahihi;
2. Umtake aliyeiweka hapo ndo akaishushe au ww Kamfungulie mashtaka
3. Kapate kibali cha Serikali au Mahakama ili kuiondoa bendera hiyo.
**4. Mkuu; Hiyo Bendera inakuhusu vipi?? Je, uwepo wa bendera hiyo kunakuzuia kwenda kupata matibabu hapo? au Unashindwa kufanya shughuli zako za kifamilia? -Nenda katafute pesa achana na Fitna, Husda,........
 
Nasikia wameitoa bendera lakini tujiulize hiyo wilaya hakuna wana usalama? Bila kuonea yeyote tuchukue hii kama alarm kuwa tayari tumevamiwa! Yumkini hiyo hospital inaendeshwa kwa misaada kutoka huko na imeidhinishwa!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo ushangae Mkuu! Sidhani kama kuna nchi tunaipita kww kuwa na uelewa finyu.
Watanzania tunaongoza!
Kweli kabisa. Inaonekana waTz wana muda mwingi mno(Surplus time)kiasi kwamba hata hawajui wautumieje kwa manufaa yao. Kitu kidogo tu kimeonekana/kimetokea halafu na mtu anakazia shingo, anazua hoja na kutoa mapovu kana kwamba kimemgusa moja kwa moja na kinamwathiri vibaya sana.
 
Back
Top Bottom