Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Badala ya kulichoma wewe ukaligawa likatumiwe na mwingine? Hukufanya vizuri

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Keyboard Worriors akina Kinuju, ussr, kijakazi, Stroke, countrywide, nigrastrata, corticopotine, kamanda asiyechoka na Shujaa mwendazake nendeni sasa mkabomoe hiyo Hospitali😅😅😅
 
Kulikuwa na haja gani ya kuweka bendera hata kama ni ya peace tena hospitalini tena kwa kipindi hiki taifa lipo kwenye mkanganyiko? Hiyo peace ina kazi gani hospitalini?
 
Ht mm nilikuwa na bangili zangu zina rangi rangi nyingi kwakweli nimeamua kuziharibu na kuzitupa kbs.
 
Bendera yenye rangi nyingi.. sijui zipo ngapi.
Zipo 7
Red, orange, yellow, green, blue, indigo, and violet

Rangi za upinde wa mvua zikimaanisha
1. Impermanence
2. Equality and Peace
3. Good Luck
4. Diversity in Sexuality - hii ndio inasimama na LGBTQ
5. New Beginnings
6. Promise

7. Hope
 
Kwa jinsi masharti yanavyozidi kuwa magumu usishangae siku naniliu akavaa tai yenye upinde🐒
Ndio akisaini hivyo itabidi avae tu hakuna namna hutaki acha Pesa zao usichukie kabisa, ukikubari kusaini basi kubari kugawa vilainishi kila angle ya nchi mapema bila kuchelewa
 
You know what SIKUPENDI japo sio kosa lako wewe kuwa ulivyo.
You are a CURSE.

And you know what again!?
HOMOSEXUALITY WILL NEVER BE NORMAL popote ulimwenguni.

Unajua ni kwanini bado kuna Gay parades et al huko developed countries pamoja na kuwa ni miaka mingi sasa tokea gay community ipate haki yake?

Unajua ni kwanin STRAIGHT PEOPLE hawana STRAIGHT PEOPLE PARADES kwa ajili ya kutetea haki ya kuwa straight au ku raise awareness ya issue yeyote kuhusu gender yao.?

Unafahamu ni kwanini pamoja na haki zote walizopewa huko nchi zilizoendelea ila IDADI YA GAYS WANAOJIUA NI KUBWA?

Unafahamu ya kwamba sio Africa tu bali hakuna sehemu yeyote duniani ambako kuna jamii inayowaona kuwa Gays ni BINADAMU WA KAWAIDA?
Yes kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kuona midume miwili yenye sharubu ikila denda hadharani au ikitomasana tomasana hadharani au ikafunga ndoa na kuish kama mke na mke au mume na mume ila ukweli unabaki pale pale kuna wazungu wenzao wanawachukia na wanawawinda kuwaua.

Najua kuna mnaozaliwa na matatizo ya kiufundi mnakua hivyo,wengine mnajifunzia mashuleni,wengine njaa zinawaponza nk. na ninajua kuwatukana au kuwachukia kama ninavyowachukia ni kuwaonea ila ukweli unabakia pale pale YOU PEOPLE ARE NOT NORMAL AND WILL NEVER BE NORMAL NOR HAPPY.

POLENI KWA MATATIZO
 
Nyie si mabingwa wa kupinga? Mkashushe ile benderaaa.
True meaning ya utatoa hutoi, ukipewa usisahau ulipewa na wewe kubari kufuata walichokwambia hutaki rudisha misaada yao

HAKUNA cha BURE kila BURE Ina consequences zake, ukifutiwa DENI kuna karatasi wanakupa unasaini na unakubari the same ukipewa misaada kuna karatasi wanakupa unasaini na wewe unataka Pesa utaacha kutia saini?

Kinachofuata ni kigeuzwa wote kua machoko na mabwabwa maana ulishasaini tayari, ukileta ubishi utaulizwa si ulisaini mwenyewe lakini au ulilazimishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…