Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Naona tunaongelea mambo mawili tofauti; mimi nimesema lisu ni kiongozi wa mashoga Africa, ulaya na Asia, wewe unaongela katiba mpya!
Issue ni bendera ya mashoga huko singida kwao na lisu, ambaye ni kiongozi wa mashoga. Acha kuingiza habari ya katiba mpya bwashee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 anaye elewa vizuri kuhusu hao LGBTIQA anieleweshe vizuri nielewe, offical rangi yao ni ipi?
na offical bendera yao ni ipi?
Maana sahivi kila kitu cha rangirangi kinahusishwa na hao wapuuzi,
nilikuwa na mashati yangu ya batiki ya kutimbia church na kwenye interview za sirikali na yenyewe nimeyagawa kwa kuhofia kutangaza agenda za watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1073] [emoji1229] kati ya hizo moja ni benderà ya France nyingine Netherlands unaweza kuzitofautisha? mambo mengine tupunguze nongwa
Muongo wewe hakuna bendera zinazofanana duniani

France [emoji632]
Netherlands [emoji1179]
German [emoji629]
Belgium [emoji1045]
 
Mbona ushoga unapigiw kampen sana kama vile ni haki ya msingi kbsa ya kibinadamu wakat ni mapungufu inamaan gan

Nazan kampen hz zingeendana sawa na kampen za normal sex KE na ME nazan ingekuw sawa hapa kuna kimoja kinatakiw kuuliwa kbsa , Normal sex ili waanze biashara zao fulan fulan

Vipi ajenda ya chama cha chaputa mbona nayo haina kipaumbele

Nazna Dunia ina mambo muhimu sana katika kuboresha maisha ya binadamu lakni hii ajenda inaenda kuuwa mfumo mzma wa maisha ya binadamu Kama RUSSIA Hatomalza vta kwa ushind nazan dunia nzima kutanuka maviiii
 
Back
Top Bottom