Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Wengi hawajui hili. CCM kama wanatupenda waanze na KTB
Sio jamaa, Katiba ndo inasema hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio jamaa, Katiba ndo inasema hivyo.
Maoni kutoka kwa wakenyaHospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Hio hospital ya kanisa flaniHospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Umeshawahi kupitia katiba ya UR Tanzania ile ibara ya 18?Hahahah tundu
USSR
Hii ni Singida!??Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Mkuu wewe ni KE au ME?Serikali haijawahi kukaa kimyaa, ilishatoa msimamo wake tangu mda.
Naomba kuuwasilisha huu hapa.View attachment 2537534
Inahusu nini na msimamo wa serikalii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wewe ni KE au ME?
Hapana hebu twende taratibu hapo usilikimbie swali? Hahaha!Inahusu nini na msimamo wa serikalii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa msimamo ungekua tofauti na huu, ungeshaona wametoaaa. Ndo huo msimamo huo uko valid had sasa,acha ujinga wewe unaongelea msimamo wa serikali ya 2018 kipindi inaongozwa na gwiji, tuletee ya 2023 hii serikali ya mapambio na mipasho ya Khadija kopa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anaye elewa vizuri kuhusu hao LGBTIQA anieleweshe vizuri nielewe, offical rangi yao ni ipi?
na offical bendera yao ni ipi?
Maana sahivi kila kitu cha rangirangi kinahusishwa na hao wapuuzi,
nilikuwa na mashati yangu ya batiki ya kutimbia church na kwenye interview za sirikali na yenyewe nimeyagawa kwa kuhofia kutangaza agenda za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan watu wamevurugwaa had baas.Watu wamechanganyikiwa mpaka WANAFOKEA BENDERA.
Bendera ina shida gani? Kwanza imeandikwa PEACE!
Kama mtu ana hamu ya kufirwa akafirwe, tuache kusingizia BENDERA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibu vizuri sanaaaa.Ukishakula pesa yao huwezi kuwakwepa.
Jakaya alisema ukitaka kula shurti ukubali kuliwa [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahSiyo Makiungu Hospital pekee,hata "Consolata Hospital Ikonda" huko Makete hao waitaliano wanapeperusha hiyo bendera.
View attachment 2537615Lazima vilainishi vinagawiwa hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili povuuu lako la Doffy ndo linaonesha wee hauko normal na Una matatizo binafsiiiii.You know what SIKUPENDI japo sio kosa lako wewe kuwa ulivyo.
You are a CURSE.
And you know what again!?
HOMOSEXUALITY WILL NEVER BE NORMAL popote ulimwenguni.
Unajua ni kwanini bado kuna Gay parades et al huko developed countries pamoja na kuwa ni miaka mingi sasa tokea gay community ipate haki yake?
Unajua ni kwanin STRAIGHT PEOPLE hawana STRAIGHT PEOPLE PARADES kwa ajili ya kutetea haki ya kuwa straight au ku raise awareness ya issue yeyote kuhusu gender yao.?
Unafahamu ni kwanini pamoja na haki zote walizopewa huko nchi zilizoendelea ila IDADI YA GAYS WANAOJIUA NI KUBWA?
Unafahamu ya kwamba sio Africa tu bali hakuna sehemu yeyote duniani ambako kuna jamii inayowaona kuwa Gays ni BINADAMU WA KAWAIDA?
Yes kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kuona midume miwili yenye sharubu ikila denda hadharani au ikitomasana tomasana hadharani au ikafunga ndoa na kuish kama mke na mke au mume na mume ila ukweli unabaki pale pale kuna wazungu wenzao wanawachukia na wanawawinda kuwaua.
Najua kuna mnaozaliwa na matatizo ya kiufundi mnakua hivyo,wengine mnajifunzia mashuleni,wengine njaa zinawaponza nk. na ninajua kuwatukana au kuwachukia kama ninavyowachukia ni kuwaonea ila ukweli unabakia pale pale YOU PEOPLE ARE NOT NORMAL AND WILL NEVER BE NORMAL NOR HAPPY.
POLENI KWA MATATIZO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machoziii.True meaning ya utatoa hutoi, ukipewa usisahau ulipewa na wewe kubari kufuata walichokwambia hutaki rudisha misaada yao
HAKUNA cha BURE kila BURE Ina consequences zake, ukifutiwa DENI kuna karatasi wanakupa unasaini na unakubari the same ukipewa misaada kuna karatasi wanakupa unasaini na wewe unataka Pesa utaacha kutia saini?
Kinachofuata ni kigeuzwa wote kua machoko na mabwabwa maana ulishasaini tayari, ukileta ubishi utaulizwa si ulisaini mwenyewe lakini au ulilazimishwa?
Wanaume wanalindaje familia zao wakat wao wenyewe ni waliwaji?Masikini siku zote huwa hana Choices.
Na huo ni Moshi tu, bado kidogo Moto utawaka.
Mwanaume, hakikisha unailinda Familia yako. hio pekee ndio itasaidia...