Mkuu tutumie mfano wa namna unavyoona upinzani wanapata tabu Tanzania. Tunalilia katiba mpya, ishu ikiwa serious unaskia Mbowe kaitwa ikulu. Msemaji wetu wa katiba mpya ghafla ananyamaza.
Hii business model ndio hutumiwa kila mahala. Sisi we just do copy and paste.
Tunaomba mikopo, tunaaminishwa ni misaada😂, na sisi tunasema ni misaada. Sasa misaada huja na conditions...
Tunaomba misaada km wanavyodai, wanakupa... wao wanaomba mpitishe sheria hizo tu utakataa? Na ukikataa je kesho? Utamuomba nani?
We umeomba nguo ukapewa mbele imeandikwa fu*k me na kuambiwa Asifute atakataa??
Inshort LGBTQ, sio sisi tuseme tumekubali au nini? Ni nguo tuliopewa kama msaada na maandishi ya kututukana.
Mark my words, "what happened to Makonda after fighting LGBTQ movement in Tanzania?"