Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Maoni kutoka kwa wakenya

Kichocheo cha ushoga ni siasa za mrengo wa USA na EU

Kuna haja ya kuanzisha chama chenye mrengo wa siasa za mrengo wa UAE
Dunia inaulilia ustaarabu huu na mfamo mzuri tuliuona ktk mashindano ya kombe la dunia la Qatar.

Mashindano yaliyoingizia faida kubwa FIFA bila pombe, kamari, Riba na ushoga


Tatizo kubwa wenye ustaarabu huu nchini hawako tayari kuchukua nyadhifa hizo.

Tuwaunge mkono kwani tz ni case study ya ea.

Wana input na kubwa zaidi output ambayo dunia inawahitaji
 
KWANN WEST WANA DILI NA JAMBO HILI AMBALO NI SEHEMU NDOGO SANA AMBAKO USHOGA NI KAMA 0.4% DUNIANI WAKAZANI KU PROMOTE USHOGA UINGIE KBSA KTK JAMII NA UKUE KWA ASILIMIA KUBWA

USHOGA SI HALI YA KAWAIDA NA ILIBIDI UCHUKULIWE KAMA SEHEMU YA MATATIZO (MAGONJWA) WATU WATIBIWE KBSA NA WAPONE

KWANINI MFUMO WA KAWAIDA WA MAISHA YA BINADAMU KWA SASA UMEWEKWA PEMBENI AMBAKO ILIBIDI KUW NA UHAMISHAJI WA NDOA KATIKA YA ME NA KE ILI KUZUIA HIZO AGENDA HIZO ZAIDI WANAKUJA KUTOA ELIMU ZA KUSHOGA


HAWA WANAJUA NN KITAFATA BAADA YA HAPA NA WATAFAIDIKA NA NN KUNA MAMBO MENGI YANAENDELEA KWA KIZAZ CHETU LAKIN HILI N KUBWAA SANA
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Hii ni Singida!??

Kuna kiongozi mmoja alikwisha sema hayo ni mambo ya faraghani na hatayaingilia
 
Rais atoke na kuweka msimamo hadharani wa Nchi juu ya suala Hilo.

Wakinyamaza, GWAJIMA atarudi madhabahuni kuongea na waumini wake.


Tusubiri.
 
acha ujinga wewe unaongelea msimamo wa serikali ya 2018 kipindi inaongozwa na gwiji, tuletee ya 2023 hii serikali ya mapambio na mipasho ya Khadija kopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa msimamo ungekua tofauti na huu, ungeshaona wametoaaa. Ndo huo msimamo huo uko valid had sasa,

Poleeeeeeh sanaaaaa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukishakula pesa yao huwezi kuwakwepa.

Jakaya alisema ukitaka kula shurti ukubali kuliwa [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibu vizuri sanaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili povuuu lako la Doffy ndo linaonesha wee hauko normal na Una matatizo binafsiiiii.

Afu kupendwa na wee mie sio shida zangu, akinipenda ninayemvulia nguo inatoshaaaa, usijipime umuhimu na venye hamna. Poleeeeee kwa kutesekaaaaa kakaaa.

Hallah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
Life 4rever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machoziii.
Waambie hawa watu waeleweeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…