Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Puma yetu

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
111
Reaction score
125
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake.

Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe.

Nimewasiliana na OCD Wilaya ya Ikungi.

Hemedi Kulungu, Mgombea Ubunge Singida Magharibi!
 
Ngoja tuone kama waliohusika watapatikana au itakuwa yaleyale ya Alphonce Mawazo!
 
Back
Top Bottom