Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Tanzania tumefika pabaya sana
Na bado hatujafika tunakoelekea na hii ni kwa sababu moja tu - Magufuli is a notorious divider, not a uniter!! Amechochea na akiingia kipindi cha pili ataweka mafuta ya petroli utengano kati ya u-ccm na kila mtu asiyeamini katika u-ccm.
 
Kwani wakiua ndio wanakua wameingia uchumi wa kati,CCM wanayofanya yatawarudia tu
 
Ndio hiyo The Libyan Model anayoiimba Magufuli kwenye majukwaa. Namsikia Patrobus Katambi kwenye kampeni zake nae anamuomboloza Muammar Ghaddafi.

Kwamba mkitulia mtapewa na serikali mpaka mahari ya kulipa ukweni lakini watakuwa na leseni mpaka ya kuwaueni
 
Yamelaaniwa matumbo ya mama zao waliopanga, kuratibu na kutekeleza mauaji hayo. Wamelaaniwa wake zao, waume zao, wazazi wao, ndugu zao na watoto wao wa kizazi cha kwanza hadi cha nne.
 
Paruaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vizuri.
 
Nasubiri tamko la Magufuli la kukamata wauaji haraka kama alivyotamka alipouawa yule wa Iringa hapo ndio tutajua maendeleo yana chama au la
Si Lissu yupo atatamka au? Kwani hadi atamke JPM?
 
Basi hiyo imetoka, hana Rais wake wa kulitaka jeshi la polisi liwakamate kesho wauaji, polisi nao watasema ni wenyewe CHADEMA.
 
Back
Top Bottom