MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ngoja tuone haraka kama ile ya Njombe na Tunduma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana Jr ni mapema sana kudhania hivyo,tuwe na subira ukweli utajulikana tu, Damu ya Mtu ni nzito sana!!Jamaa wamelipa kisasi kwa kudhani yule wa CCM kauliwa na CHADEMA?
Muda utaongea!!Kisa madaraka tu au kuna kingine?
So sad!
Azungumziwe kama Rais - PeriodNdio rais kwa sasa hivyo usalama wa raia ultimately ni jukumu lake.
Kama CDM walivyokuwa kimya kuhusu Kibiti na yule wa Njombe alipouawaHapo Polepole, Magu na Polisi watakuwa kimya..
Kuliko mashetani yaliyokusanyika CHADEMA!Ndiye shetani mwenyewe.
Na ndipo unafiki unapojidhihirishaHawezi kusema kitu. Aliyetendewa hayo siyo CCM
Precisely.Azungumziwe kama Rais - Period
Duh!upinzani ni unyama sikuiziKatibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake.
Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe.
Nimewasiliana na OCD Wilaya ya Ikungi.
Hemedi Kulungu, Mgombea Ubunge Singida Magharibi!
Unastahili kwenda kuisaidia polisi kueleza ni wana CHADEMA gani waliofanya udhalimu huu.Kuliko mashetani yaliyokusanyika CHADEMA!
Mgombea Urais, tukiamini ni msomi, kumbe msomi uchwara, anayeishi kwa udaku wa mitandao ya kijamii, siku 7 za kifungo cha kutokushiriki kwenye kampeni, atajifunza ukweli kuhusu Tanzania mpya. Jana kutumia usafiri wa mwendokasi na Sikoni Kariakoo ameshuhudia yaliyo tofauti na anayohubiri kwenye kampeni.
Hata huyu Marehemu (RIP) atakuwa amefanyiwa na wana CHADEMA wenzake. Muda si mrefu vitendo vya utekaji na mauaji vinavyosingiziwa Serikali, ukweli utawekwa hadharani, na uwe mmoja wa misumari kwenye jeneza la CHADEMA
Haya mambo hatukayaona tawala zilizopita
Hii ni Tanzania mpya kwa mujibu wa kitengo cha propaganda ya ccm, ila ni Tanzania ile ile na chochote kinachofanyika kinafanyika kwa kodi za watanzania zikiwemo za Lissu.Kuliko mashetani yaliyokusanyika CHADEMA!