Kuliko mashetani yaliyokusanyika CHADEMA!
Mgombea Urais, tukiamini ni msomi, kumbe msomi uchwara, anayeishi kwa udaku wa mitandao ya kijamii, siku 7 za kifungo cha kutokushiriki kwenye kampeni, atajifunza ukweli kuhusu Tanzania mpya. Jana kutumia usafiri wa mwendokasi na Sikoni Kariakoo ameshuhudia yaliyo tofauti na anayohubiri kwenye kampeni.
Hata huyu Marehemu (RIP) atakuwa amefanyiwa na wana CHADEMA wenzake. Muda si mrefu vitendo vya utekaji na mauaji vinavyosingiziwa Serikali, ukweli utawekwa hadharani, na uwe mmoja wa misumari kwenye jeneza la CHADEMA