Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Kuliko mashetani yaliyokusanyika CHADEMA!

Mgombea Urais, tukiamini ni msomi, kumbe msomi uchwara, anayeishi kwa udaku wa mitandao ya kijamii, siku 7 za kifungo cha kutokushiriki kwenye kampeni, atajifunza ukweli kuhusu Tanzania mpya. Jana kutumia usafiri wa mwendokasi na Sikoni Kariakoo ameshuhudia yaliyo tofauti na anayohubiri kwenye kampeni.

Hata huyu Marehemu (RIP) atakuwa amefanyiwa na wana CHADEMA wenzake. Muda si mrefu vitendo vya utekaji na mauaji vinavyosingiziwa Serikali, ukweli utawekwa hadharani, na uwe mmoja wa misumari kwenye jeneza la CHADEMA
Nafasi ya shetani ibilisi ni moja tu,na tayari imejazwa na shetani namba moja wa chama twawala. na ndiye anayeongoza kutenda vitendo vyote hivyo haram,wengine ni wakusingiziwa.
 
Nilizaliwa miaka mingi iliyopita. Nikakutana na amani, furaha na upendo. Mbona kadri siku zinasogea hivi vitu adimu vinapotea? Ninasikitika sana. Halafu ukiwa mkweli watakuita mpinzani. Haya yalinikuta mwaka 2015 nilichukia sana wizi na ufisadi ulioimaliza nchi kiasi kwamba nilitamani upinzani uchukue nchi. Ni kwa vile sina influence ya siasa na kwenye chama changu nami ningehama kama walivyohama vingunge. Nilibaki tu kushabikia kama wenzangu walivyokuwa wanashabikia. Nikashtukia naitwa mpinzani tena Chadema wakati hata sijawahi kuwa hata na ukaribu na wanachadema wenyewe na isitoshe toka nizaliwe sijawahi hata kuhudhuria mkutano wachama chochote japo nina kadi ya chama tokaJuly 1990. Mimi nikiona mambo ya uonevu na wizi huwa ninachukizwa sana. Na nikuhakikishie kitendo cha kudhamiria kabisa kumuua Lissu kilinisikitisha sana. Hatakama angekuwa na kosa gani lakini hiyo ni mtanzania mwenzetu. Na huwa mimi siyo mpiga kura na kura ya kwanza nilipiga 2015 na ya pili nitapiga 2020 baada ya hapo nitaendelea na UTARATIBU wangu wa kutopiga kura. Nitaendelea kutumikia watanzania wote popote pale nitakapokuwa. Naumia sana moyoni mwangu.
 
Paruaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vizuri.
acha us"""nge ww watu wako hapo ulipo miaka 30 wala hawacomment hapa fala ww
 
Wakijitahidi sana watawakamata wanaChadema na kusingizia ndio waliomuua mwenzao. Hii nchi hiiiiiiii...............inatia fedheha sana.
 
Kama hilo ni jimbo la Savimbi ?
ndo siasa za mwigulu Nchemba ,wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani watu walikuwa wanavamiwa hadi kwenye mikutano ya chadema, Mwigulu ni aina ya wanaohitaji watoweshwe law risasi ni mtu mbaya sana
 
we are almost crossing the red line!!!, Jirani zetu walianza hivihivi tu!!!, wajameni watanzania tusisingizie siasa tutathmini roho zetu kumbe tuko hatarini tuchukueni hatua sote si kunyoshea vidole vyama vya siasa
 
Nasubiri tamko la Magufuli la kukamata wauaji haraka kama alivyotamka alipouawa yule wa Iringa hapo ndio tutajua maendeleo yana chama au la
Mkuu hivi unamjua vizuri yule mzee..!? Sijawahi kuona kiongozi katili kama Meko, jamaa anatia hasira sana..

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Sio Kila tukio ni siasa. Uwe Mwenyekiti au katibu alimradi unaishi ktk jamii basi ni vizuri kuwa muungwana. Hatujajua nini sababu wala chanzo. Kwa sasa tuweni na subira kidogo.
 
Back
Top Bottom