Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Kwakuwa aliyeuawa ni wa chama cha upinzani muh wa chama tawala atoe tamko kuwa kauawa na wafuasi wa chama tawala kama anavyofanya anapouawa mfuasi wa chama tawala.
 
Unaweza ukaji unganisha Wewe mwenyewe kana yeye ni divider.
Lakini kama Wewe ni divider utaji divide .
Lisu ni deceitful and decided campaign engine wenu na nyie wenyewe ni wahanga .
CCM inatabia ya kujikusanya upya na kusonga mbele kwa umoja.
Deceitful in what ways? Kila mtu ni mhanga wa mgombania wake wa urais awe lisu awe jpm, awe lipumba n.k.
 
Poleni wafiwa, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha masikitiko. Amina.
 
Poleni Sana wahusika.
Ila kwa wasiopenda kuona haki ikitendeka wakati Kama huu nap wanajitokeza kinafiki.Huku was kichekelea kwa vile sii wakwao.Tanzania yetu wote,tupende,haki,usawa na Amani.
 
Don’t expect to hear anything of the similar nature Mkuu.
Man! ... I am very interested to hear what Robert Amsterdam will tweet or utter after this tragedy! There are a lot to ponder regarding the long tie Lissu had with "these government spoilers" from West. However, Spare us please!!
 
Kesho wewe unkatwa sasa endeleeni na masiasa yenu
 
Kwa sasa ni heri kushirikiana na yeyote anaeweza kutusaidia kuondoa huu udhalimu, awe ni beberu au shetani.
Na hapa ndipo unapozidisha wasiwasi wangu kuwa , yawezekana haya matukio yako staged na nyinyi ili mpate idadi ya vifo vya kusababisha mtafaruku wa kurasimisha ajenda zenu na Robert Amsterdam!!! Watanzania tuwe macho kwa kila kitu kuanzia sasa!!!
 
Back
Top Bottom