Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Yaani kulikuwa na shughuli tukakaa guest moja tupo wengi sasa asubuhi badala ya kusubilia wenyeji walete chai twendeni tunywe mtaani aise tulikosa
mkuu pole kama ulikuwa hujui hii mikoa Tanzania ina umwinyi Tabora, Tanga, Kigoma, Lindi, Singida, na Dar es salaam sema biashara imeondoa ujinga dar center for goods ila enzi dar ikiitwa mzizima same apply
 
Asante, ni kweli umwinyi mwingi mno, Dar hizo biashara napo ni wageni, wenyeji wachache sana
 
Asante, ni kweli umwinyi mwingi mno, Dar hizo biashara napo ni wageni, wenyeji wachache sana
mi nimeishi muda mrefu sana Tanga mjini yaani ni sehemu ambayo fursa hawazitaki kuzichangamkia kisa kuogopa sijui nini. wanaishi kimazoea siku zote.
 
Simiyu, Iringa, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Manyara, Tabora, Mbeya n.k.

Point yangu ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida.

Ukibisha bisha kwa facts.

Wale wa picha hio hapo.

Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tu.

View attachment 1770189
Inapakana na mikoa mingi na yet uko nyuma sana kimaendeleo!
 
Dodoma haijapakana na mkoa ambao uko mpakani hivyo inastahili kuwa makao makuu
 
Kijiografia Singida sawa, ndiyo iliyo katikati mwa nchi na si Dodoma.

Mantiki ya kuwekwa makao makuu pale Dodoma ilikuwa kwamba ni kati kati ya nchi na si kwa kupakana na wingi wa mikoa ya jirani.
Ukiongeza Zanzibar katikati ni Dodoma, uiitoa Zanzibar katikati ni Singida. Msubirie miaka laki moja ijayo Muungano hautakuwepo tutarudisha mpira Singida..[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Kubwa jingwa kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣
 
Back
Top Bottom