Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Itakuwa yule anayeðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ lockdownWewe jinga kweli hiki ni kitu gani sasa taarifa au udaku?
Huyo bwanaako mkubwa ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa yule anayeðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ lockdownWewe jinga kweli hiki ni kitu gani sasa taarifa au udaku?
Huyo bwanaako mkubwa ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni taarifa niliyoipata muda mfupi uliopita ila tusubiri muda utathibitisha.
Mliokula night za kutosha hongera zenu!!!
Cha ukoo wenu!!!
Corona inamsubiri kwa hamu .Kaona aibu kumuapisha naibu waziri pale J's hotel.Kaamua kurudi Dodoma.
ilongero pale wengi wana ukimwi...Anawasalimia wananchi wa sehemu Corona ilipoota mizizi!
Sokoine hospital, Ilongelo hospital!
Subiri sikukuu iishe wewe hujui haka ka wiki huwa wanafunga kwasababu ya sikukuu..Fungua shule kwanza.
Safari hii mkiwa chadema mnacharazwa, mkihamia kenya mnacharazwa, mkitulia karma ya Dr.Slaa inawacharaza.Tanzania Imepatikana Aiseee!!
Ushindwe na ulegee.
Ndo maana huwa mnashikwa kwa kesi za uchochezi.Kwenye gari anatembea na katoni ya dawa za Madagasca akishahutubia anazama anagonga wakati wananchi anawaambia wasivae barakoa
Cha ukoo wenu!!!