Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Leo ufipa ni vilio vimetanda, nimepita hapo muda huu huu.Cha ukoo wenu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ufipa ni vilio vimetanda, nimepita hapo muda huu huu.Cha ukoo wenu!!!
Acha kuwanga mchanaAnajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Kikifika Dodoma naomba kivunje bunge watu wakachape kazi!Chuma!
Usimuamshe aliyelala. Kakatiza Tabora kwa speed ya upepo na helicopter ya ulinzi juu.Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Porojo hizi!!Leo ufipa ni vilio vimetanda, nimepita hapo muda huu huu.
Sikuwa nalijua hilo boss, basi na wa koona wanapelekwa sanailongero pale wengi wana ukimwi...
Tahadhari zipi tena hizo? Kuvaa barakoa auTusiongope tusitishane, na uzuri Singida hamjaogopa na hata waliovaa barakoa ni wachache, hata mimi sikuvaa hata RC kwa kuwa Mungu yupo pamoja nasi
Endeleeni kuchukua tahadhari
Kahutubia Singida muda si mrefu atakuwa Manyoni then Dodoma. Kaifuata Corona halafu anaiponda. Hii Corona ukiiponda ndo inakuja kukuonyesha yenyewe ni nani.Usimuamshe aliyelala. Kakatiza Tabora kwa speed ya upepo na helicopter ya ulinzi juu.
Safari hii mkiwa chadema mnacharazwa, mkihamia kenya mnacharazwa, mkitulia karma ya Dr.Slaa inawacharaza.
Kama wewe ni Paskali Kabombe huyu ninayemjua basi umesharogwa!Chadema watasema hatutaki kujua Rais yupo wapi
Halafu wanalilia eti wanaonewaNdo maana huwa mnashikwa kwa kesi za uchochezi.