Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Hana lolote naona muda wa kuvunja bunge unakalibia kaona ajisogeze kalibu na mjengo mapema.
 
Chadema watasema hatutaki kujua Rais yupo wapi
Kama wewe ni Paskali Kabombe huyu ninayemjua basi umesharogwa!
Paskali ninayemfahamu ni nondo sana akiwa kwenye Radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…