Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Katika hili mimi nailaumu Corona yenyewe kwa kushindwa kupiga target.

Yaani Covid19 ingekuwa na shabaka ya ukweli hizi dharau tusingekuwa tunazisikia saa hizi. LAWAMA ZANGU ZOTE NI KWA COVID.
 
Njoo baba , njooo mjini, umetoka FUNGATE LA MIEZI MIWILI SASA!

Jumapili tunapiga yowee la kumaliza lockdown ya kimya kimya
 
Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Mimi mwenyewe sivai barakoa Tena doctor kaniambia nikizoea kuivaa nitapata ugonjwa wa mapafu wa kushindwa kupumua vizuri kwani oxygen hauwezi pita vizuri kwenye barakoa akaniambia vaa saa moja toa pata fresh air kuepuka chocking ya mapafu.

Ukianza kushindwa kupumua utatuhumiwa corona kumbe barakoa haipitishi oxygen vizuri na inachanganyika na carbon dioxide sababu hewa unayotoa Ni carbon na inayoingia oxygen zote zashindwa carbon haitoki vizuri na oxygen haiingii vizuri matokeo una suffocate mapafu ukilala usiku waweza sikia uchovu usio wa kawaida

Hongera Magufuli kwa kutovaa barakoa una imani kubwa kwa Mungu umenipa changamoto sitavaa barakoa tena
 
[emoji28]au sio ana jaribu kusema nini uyu mzee

Dark Side
 
Back
Top Bottom