GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Vitamin c . ukikosa mwanga wa jua
Hivi Mlipokuwa huko shule ujinga haukuwatoka kabisa?Bila jua hakuna vitamin C.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitamin c . ukikosa mwanga wa jua
Hivi Mlipokuwa huko shule ujinga haukuwatoka kabisa?Bila jua hakuna vitamin C.
Kivipi?Porojo hizi!!
Kwani wamakonde kwenu Dar?Huku dar hatumhitaji kama vipi aishie hapo Dodoma
Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Subiri wiki mbili zijazo WHO watathibitisha hili kama ambavyo wamefanya hivyo kwenye issue za lockdown.View attachment 1454980
Kama kuna chanzo cha huu utafiti(hii habari),basi mnaojua naomba mtujuze tukasome kwa undani.
Ukishapiga nyungu barakoa ya Nini?Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Duuu mwamba unawaza nini aiseeKatika hili mimi nailaumu Corona yenyewe kwa kushindwa kupiga target.
Yaani Covid19 ingekuwa na shabaka ya ukweli hizi dharau tusingekuwa tunazisikia saa hizi. LAWAMA ZANGU ZOTE NI KWA COVID.
Target ingukwa kwa wazazi wako ten a wazikwe usikuKatika hili mimi nailaumu Corona yenyewe kwa kushindwa kupiga target.
Yaani Covid19 ingekuwa na shabaka ya ukweli hizi dharau tusingekuwa tunazisikia saa hizi. LAWAMA ZANGU ZOTE NI KWA COVID.
Mimi mwenyewe sivai barakoa Tena doctor kaniambia nikizoea kuivaa nitapata ugonjwa wa mapafu wa kushindwa kupumua vizuri kwani oxygen hauwezi pita vizuri kwenye barakoa akaniambia vaa saa moja toa pata fresh air kuepuka chocking ya mapafu.Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Mkuu mbona hili liko wazi.View attachment 1454980
Kama kuna chanzo cha huu utafiti(hii habari),basi mnaojua naomba mtujuze tukasome kwa undani.