Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

Mc ana uchawa mpaka kinyaa
MC ni mpuuzi sana
Anawasemea wafanyakazi kama vile tumemtuma sisi, najua kuna weza kuwa na nyongeza ya mshahara kuwapumbaza Walimu na wafanyakazi wa vyeo vya chini, ili kuwapumbaza.

Sheikh aliyetoa sala ndo kaharibu itakua anatumia cha Arusha
 
Imeingia doa baada ya kushambuliwa kitima lakini pia kesi ya uongo dhidi ya LISU na hao wote wanatokea singida. Msidhani watu wanafurahi hapanamioyoni mwao wamejaza mengi.
We tokea lini uliingia mioyoni mwa watu wa singida na wakakuteua kuwa msemaji wao?? Bangi mbaya sana!
 
Huyu Sheikh Kilaza anaomba maombi gani kwa mbele ya Mwenyezi Mungu? Eti anamwomba Allah afanikishe uwanja uitwe jina la Halima Dendegu. Hilo ni la kumwomba Mwenyezi Mungu?

Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uwanja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kicheko. Bloody fucken kabisa.
😀😀😀 Mambo ya kobazi hao wanajiaibisha sana hadi aibu
 
Watu wengine wako serious kuelezea changamoto zao, wao ngojera na manyimbo ya kusifu tu..me naangalia zangu citizen tv angalau naona wanaelewa maana Leba day.
 
Nilisema katika mei mosi zote hakuna mei mosi ambayo raisi atasifiwa kupita kawaida kuliko hii
Kuna genge dogo la watu wanaofaidika na utawala dhaifu wa mama linatumia kila liwezalo (kuua, kuteka nk) ili kuhakikisha sa100 anaendelea kuwa rais kitumbua chao kisiingie mchanga!

Lakini kiukweli Wananchi wengi wa kawaida hawamuelewi Sa100, wanamuona amerejesha upigaji serikalini
 
Wazungumzaji ni Wengi sana mpaka shughuli inakera aise afu wote wakienda kwenye Podium hakuna cha zaidi ni Kupongezana tu nakutajana majina, Wame prolong sana shughuli mpaka imeboa kabisa
 
Huyu Sheikh Kilaza anaomba maombi gani kwa mbele ya Mwenyezi Mungu? Eti anamwomba Allah afanikishe uwanja uitwe jina la Halima Dendegu. Hilo ni la kumwomba Mwenyezi Mungu?

Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uwanja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kicheko. Bloody fucken kabisa.
Mkuu njaaa njaaaa njaaaaa njaaaaa inawateda makobazi
 
Watu wasingida fanyeni mambo ya kuonesha kuuchoka manyanyaso wanayopata ndugu zenu kina Lissu na padree kapigwa jana.
 
MC ni mpuuzi sana
Anawasemea wafanyakazi kama vile tumemtuma sisi, najua kuna weza kuwa na nyongeza ya mshahara kuwapumbaza Walimu na wafanyakazi wa vyeo vya chini, ili kuwapumbaza.

Sheikh aliyetoa sala ndo kaharibu itakua anatumia cha Arusha
lakin si unelamba posho ya leo
 
Back
Top Bottom