Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

Haya wataalamu wa hesabu njoeni mtupe mkeka wa nyongeza..
Kwa kila sekta...
 
Ni kama vile kaenda ku- test mitambo ya kukubarika kwake... anawashambulia watoto wao halafu anaenda kuwatembelea kuona kama watamzodoa. Tabu tupu
Na wanyaturu hawatamwacha salama.mpaka Sasa wamemvuruga, Hana hamu nao......... hahahahahahaha
 
Yani mei mosi imedoda hivi aise yani peji tatu tu wakati zamani peji zilikuwa zinatembea hatari .

Hakika watu wamechoka uongo
 
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Mkoani Singida
 

Attachments

  • VID-20250501-WA0027.mp4
    22.8 MB
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Mkoani Singida
Haina maana kama hazungumzii unyama unaoendelezwa na CCM kupitia wauaji wake.
 
Back
Top Bottom