Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Mijinga inaimba eti "Mama hatukudai, bali wewendo unatudai". Hii nchi haina Wafanyakazi, ina Watumwa tupu.Nilisema katika mei mosi zote hakuna mei mosi ambayo raisi atasifiwa kupita kawaida kuliko hii
MC ni mpuuzi sanaMc ana uchawa mpaka kinyaa
Kufanya kaz SERIKALINI tena WENGI hawa wa chini ambao hawapati privilege zozote ni shida sana.Mijinga inaimba eti "Mama hatukudai, bali wewendo unatudai". Hii nchi haina Wafanyakazi, ina Watumwa tupu.
We tokea lini uliingia mioyoni mwa watu wa singida na wakakuteua kuwa msemaji wao?? Bangi mbaya sana!Imeingia doa baada ya kushambuliwa kitima lakini pia kesi ya uongo dhidi ya LISU na hao wote wanatokea singida. Msidhani watu wanafurahi hapanamioyoni mwao wamejaza mengi.
😀😀😀 Mambo ya kobazi hao wanajiaibisha sana hadi aibuHuyu Sheikh Kilaza anaomba maombi gani kwa mbele ya Mwenyezi Mungu? Eti anamwomba Allah afanikishe uwanja uitwe jina la Halima Dendegu. Hilo ni la kumwomba Mwenyezi Mungu?
Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uwanja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kicheko. Bloody fucken kabisa.
Nilitamani nipige mtu ngumi kwenye TV sema kuna mtu akanizuiaMijinga inaimba eti "Mama hatukudai, bali wewendo unatudai". Hii nchi haina Wafanyakazi, ina Watumwa tupu.
Not a coincidence, yanafanyika singida,na mbunge maarufu, aliyeikalia kooni ccm, anatoksingida, na kwa sasa yupo gerezaniRais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025.
Kuna genge dogo la watu wanaofaidika na utawala dhaifu wa mama linatumia kila liwezalo (kuua, kuteka nk) ili kuhakikisha sa100 anaendelea kuwa rais kitumbua chao kisiingie mchanga!Nilisema katika mei mosi zote hakuna mei mosi ambayo raisi atasifiwa kupita kawaida kuliko hii
😂😂🤣🤣🤣 Huyo mtu aliyetaka kumpiga ngumu kwa luninga atakuwa amepata kichomi huko aliko.Nilitamani nipige mtu ngumi kwenye TV sema kuna mtu akanizuia
Tukutane Rode au Narina baadae,Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025.
Mkuu njaaa njaaaa njaaaaa njaaaaa inawateda makobaziHuyu Sheikh Kilaza anaomba maombi gani kwa mbele ya Mwenyezi Mungu? Eti anamwomba Allah afanikishe uwanja uitwe jina la Halima Dendegu. Hilo ni la kumwomba Mwenyezi Mungu?
Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uwanja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kicheko. Bloody fucken kabisa.
Hata hivyo sijashangaa sana, uwezo mdogo wa akili wa kobaz unajulikana.Mkuu njaaa njaaaa njaaaaa njaaaaa inawateda makobazi
Sana mkuu ipo hivyo aiseeHata hivyo sijashangaa sana, uwezo mdogo wa akili wa kobaz unajulikana.
lakin si unelamba posho ya leoMC ni mpuuzi sana
Anawasemea wafanyakazi kama vile tumemtuma sisi, najua kuna weza kuwa na nyongeza ya mshahara kuwapumbaza Walimu na wafanyakazi wa vyeo vya chini, ili kuwapumbaza.
Sheikh aliyetoa sala ndo kaharibu itakua anatumia cha Arusha