Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwongo.Magufili ndo muanzilishi wa huu uhuni wa kishamba
Ni majinga sana hayo ma mtuMwaka wa tatu sasa hayupo lkn vilio vyenu n vile vile 😂
Karibu sana kwenye kampuni yetu inahusika na kilimoNjoo uniajiri ww
Anataka kuongelea bangi uliyompa ☺️☺️Huyo mvuta bangi anataka kuongea nini?
Refüjü yangu kipenzi Erythrocyte ungejua litakalotokea usinge publisize hii! TL amewavua nguo hadharani. Au omba mods waufute huu uzi.Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongea na Waandishi wa Habari huko Singida, Mkutano uliopangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki.
Inatarajiwa Mtikisiko Mkubwa sana kutokea Nchini Tanzania.
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani Hii hapa
View attachment 3149735
This is rubbish!Refüjü yangu kipenzi Erythrocyte ungejua litakalotokea usinge publisize hii! TL amewavua nguo hadharani. Au omba mods waufute huu uzi.
Nilikueleza aliyeyaua maridhiano ni TL na msimamo wa kugombea urais, ukaniona juha. Leo hata Retired anabubujika machozi siyo ya FURAHA bali huzuni. Na bado TL atatoa na kiasi MBOWE wako alipata.
Wabaya wa JPM mnaumbuka taratibu
Leo umechafukwa maana maji yamekorogekaThis is rubbish!
Naked truth from a learned Brother Mr TALThis is rubbish!
Huna uwezo wa kupotosha, kajifunze tenaRefüjü yangu kipenzi Erythrocyte ungejua litakalotokea usinge publisize hii! TL amewavua nguo hadharani. Au omba mods waufute huu uzi.
Nilikueleza aliyeyaua maridhiano ni TL na msimamo wa kugombea urais, ukaniona juha. Leo hata Retired anabubujika machozi siyo ya FURAHA bali huzuni. Na bado TL atatoa na kiasi MBOWE wako alipata.
Wabaya wa JPM mnaumbuka taratibu
Kuchukiwa na Nani ....mm na familia yngu tunampenda rais wetuSamia anajiharibia mwenyewe hana wa kumlaumu heshima yote imeharibiwa na aliowaamini pamoja nayeye mwenyewe kifupi inaonekana 4R ni utapeli tu na huu UCHAGUZI ndio umefanya serikali na ccm kuchukiwa mara dufu ! Speech ya Katibu wa TEC imehuzunisha wengi sana hata wanaoiunga mkono hiyo serikali.
Pole sana! Hili ni fundisho kwakoHuna uwezo wa kupotosha, kajifunze tena
Zaidi ya kuniroga huna lolote unaloweza kunifundishaPole sana! Hili ni fundisho kwako
UNGEJUWA ANAENDA KULETA TAHARUKI K WENYE CHAMA KWA HAYO ATAKAYOONGEA USINGELETA HIZI MBWEMBWE ZAKOMakamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongea na Waandishi wa Habari huko Singida, Mkutano uliopangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki.
Inatarajiwa Mtikisiko Mkubwa sana kutokea Nchini Tanzania.
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani Hii hapa
View attachment 3149735
UmefikwaZaidi ya kuniroga huna lolote unaloweza kunifundisha
Inashangaza sana wanaacha kufanya lipasalo, kutwa kumlaumu Marehemu. Acha wapigwe!!!!Mwaka wa tatu sasa hayupo lkn vilio vyenu n vile vile 😂