Singida: Tundu Lissu aongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na wa Kimataifa

Magufili ndo muanzilishi wa huu uhuni wa kishamba
Uwongo.

Tatizo ni kwamba Tanzania kuna Katiba ya nchi ambayo ni mbovu Sana, tena ni Katiba mbaya.

Kiini cha tatizo ni Katiba mbaya tuliyonayo Wala siyo Magufuli Kama unavyofikiri.

Tunahitaji Katiba Mpya iliyo nzuri ili kuondokana na majanga Kama haya.
 
Refüjü yangu kipenzi Erythrocyte ungejua litakalotokea usinge publisize hii! TL amewavua nguo hadharani. Au omba mods waufute huu uzi.

Nilikueleza aliyeyaua maridhiano ni TL na msimamo wa kugombea urais, ukaniona juha. Leo hata Retired anabubujika machozi siyo ya FURAHA bali huzuni. Na bado TL atatoa na kiasi MBOWE wako alipata.

Wabaya wa JPM mnaumbuka taratibu
 
This is rubbish!
 
Tutajie hao waandishi wa habari wa kimataifa waliokuwepo
 
Huna uwezo wa kupotosha, kajifunze tena
 
Kuchukiwa na Nani ....mm na familia yngu tunampenda rais wetu
Hatujaona baya analofanya kazi zinaenda kma kawa
 
UNGEJUWA ANAENDA KULETA TAHARUKI K WENYE CHAMA KWA HAYO ATAKAYOONGEA USINGELETA HIZI MBWEMBWE ZAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…