LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao.

Unaua Mtu kwa sababu tu ni mgombea wa Chadema, Hakika tunamshukuru Mungu kwa kila Jambo, na Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu asiye na hatia, Amina.



Mungu ibariki Chadema
 
M
Mungu baba Ibariki CHADEMA na watu wake wote..🙏🏾🙏🏾💪🏿
 
Kwhy msiban na bendereza za chama tena au sijaelewa 😅😅
 
Hivi Lissu naye alipiga kura?
 
Ndo Ndo maana nasema mtu yeyote wa kuisaliti chadema ajue yupo na safari ngum mbele yake , mtu wa namna hii haitakiwi kuvumiliwa ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…