Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao.
Unaua Mtu kwa sababu tu ni mgombea wa Chadema, Hakika tunamshukuru Mungu kwa kila Jambo, na Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu asiye na hatia, Amina.
Mungu ibariki Chadema
Unaua Mtu kwa sababu tu ni mgombea wa Chadema, Hakika tunamshukuru Mungu kwa kila Jambo, na Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu asiye na hatia, Amina.
Mungu ibariki Chadema