LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kuna askari polisi(jeshi la polisi), askari magereza (jeshi la magereza), askari uhamiaji,askari jeshi(tpdf)jwtz),askari wanyamapori na jeshi la mambo
Stupid wote Hawa ni POLISI !!

Nchi hii inawatu wapumbavu sana !!Shuleni ulienda kufanya nini?

Define Police
 
Kwhy msiban na bendereza za chama tena au sijaelewa 😅😅
Kwani yule aliyekwenda kariakoo na nguo ya chama cha kijani kwenye kuporomoka kwa jengo alifanya hivyo kwa sababu gani wakati lilikuwa ni tukio la kitaifa? Hapo aliyeuliwa ni mwanachama wao na ameuliwa kwa maagizo ya ccm na policcm kutekeleza hilo.
 
Pole zangu za dhati kwa kuondokewa na mwanafamilia mpendwa wenu wa Chadema. Maua na sala zetu zifikie mpendwa wetu ambaye ametuacha.

Jambo muhimu zaidi ni kusonga mbele na kuweka moto wa kumbukumbu yake hai.

Pia ccm wakumbuke kuwa "Karma ni ahadi ya kulipiza kisasi , hakikisho kwamba kila tendo litalipwa kwa njia moja au nyingine. Karma ni mbunifu asiyeonekana ambaye huunda hatma yenu kulingana na chaguzi zenu na matendo yenu.
 
Damu yake haitaenda Bure.
Hotuba ya Lissu kwenye msiba huo ni moto

Screenshot_2024-11-30-17-17-26-1.png
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao.

Unaua Mtu kwa sababu tu ni mgombea wa Chadema, Hakika tunamshukuru Mungu kwa kila Jambo, na Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu asiye na hatia, Amina.

View attachment 3165797View attachment 3165799

Mungu ibariki Chadema
Mikono ya maCCM imejaa damu za raia wasiokuwa na hatia. Haya mase.nge yamelaaniwa na Mungu ndio na kubadikiwa na shetwani.
 
Back
Top Bottom