KERO Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

KERO Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Akizungumzia changamoto hiyo, Diwani wa Kata ya Mwangeza, Samwel Charles Bosco amesema Wananchi hao sasa wana rangi mbili yeupe na yeusi, hiyo yote ni kutokana na uhaba wa maji unaowakabili katika eneo hilo.
Aliyeelewa hapa anifafanulie tafadhali.
 
Na Kiongozi wa nchi ni mwanamke mwenzao,ila yupo bize kukata keki tu
 
Back
Top Bottom