min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Feb 3, 2025 #21 Intelligent businessman said: Mimi kwa maisha yangu ya Dunia hii, Sina noma na kenge maji ka wewe. na Kama vipi niku geuze kasuku, Nita kuwa nakupa month payment. ila kazi yako ni kuni somea nyuzi za jf, ka uko tayari sema hapa hapa. Click to expand... πππ
Intelligent businessman said: Mimi kwa maisha yangu ya Dunia hii, Sina noma na kenge maji ka wewe. na Kama vipi niku geuze kasuku, Nita kuwa nakupa month payment. ila kazi yako ni kuni somea nyuzi za jf, ka uko tayari sema hapa hapa. Click to expand... πππ
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Feb 3, 2025 #22 Roving Journalist said: Akizungumzia changamoto hiyo, Diwani wa Kata ya Mwangeza, Samwel Charles Bosco amesema Wananchi hao sasa wana rangi mbili yeupe na yeusi, hiyo yote ni kutokana na uhaba wa maji unaowakabili katika eneo hilo. Click to expand... Aliyeelewa hapa anifafanulie tafadhali.
Roving Journalist said: Akizungumzia changamoto hiyo, Diwani wa Kata ya Mwangeza, Samwel Charles Bosco amesema Wananchi hao sasa wana rangi mbili yeupe na yeusi, hiyo yote ni kutokana na uhaba wa maji unaowakabili katika eneo hilo. Click to expand... Aliyeelewa hapa anifafanulie tafadhali.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 3, 2025 #23 Intelligent businessman said: Wewe lady tulia, gentleman naku piga spana. Click to expand... alaaa kumbe, gentleman, kumbe unatumia spana kwenye mambo muhimu ya kitaifa yanayotumia maarifa, maono na akili?
Intelligent businessman said: Wewe lady tulia, gentleman naku piga spana. Click to expand... alaaa kumbe, gentleman, kumbe unatumia spana kwenye mambo muhimu ya kitaifa yanayotumia maarifa, maono na akili?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Feb 3, 2025 #24 ephen_ said: Miaka 63 ya uhuru. Click to expand... vipi unaonaje tumuite trump aje atushikie nchi..?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 3, 2025 #25 min -me said: Kwani kip kinashindikana ndugu tlaltla Click to expand... gentleman, mambo muhimu ya kiataalamu hayawezi kua ndoto za kuota ukiwa umelala kwenye siti ya daladala
min -me said: Kwani kip kinashindikana ndugu tlaltla Click to expand... gentleman, mambo muhimu ya kiataalamu hayawezi kua ndoto za kuota ukiwa umelala kwenye siti ya daladala
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Feb 3, 2025 #26 Na Kiongozi wa nchi ni mwanamke mwenzao,ila yupo bize kukata keki tu