Ila ujue makundi ya WhatsApp hayana watu wengi kama humu.Nadhan what's app inachangia sana taarifa kuchelewa kuletwa humu, taarifa huwa zinafika huko kwanza
Mfano hii picha ya ajali mi nnayo toka saa moja asubuhi leo
Nadhan ndo kilichotokeaIla ujue makundi ya WhatsApp hayana watu wengi kama humu.
Isipofowadiwa itaishia kwenye hilo hilo kundi tu.
wanasemaga unaweza kuwa na vyeti lakini usiwe na maarifa.Cha kushangaza hao ndo madereva wasomi kabisa nchini
leseni ya kuuendesha basi ndo yenye vigezo vingi sana kuipata
Bange mbaya kwa kweli..R.I.P.
Zamani,nilipokuwa rubani jeshini hiyo 315 ndio ilikuwa namba yangu.
Rubani wa jeshi hawatumii majina,wanatumia namba. Sijui rubani wa uraiani wanafanya vipi.
Kwa hiyo ninapotaka kufanya take-off(ninapokuwa 'njia moja') namwambia control tower,"315 take-off".
[No doubt,sasa kuna mtu ataniuliza,'Ulikuwa pilot unaitwa '315',so what?"
Halafu narudi baadaye kufanya landing,namwambia control tower,"315 traffic pattern" Traffic Pattern ndio mwendo wa mzunguko airport,kabla ndege haijatua.
Actually,mimi ni mwanajeshi,napaswa miwa kule nawashuti m23
Sasa Inawezekana ungekuwepo na ajali isingetokea!!!Mi mwenyewe ilinikosa jana asubuhi na ndiyo maana am speechless
Kuna mambo kama upepo na msukumo wa hewa eneo husika vinachangia sana mwelekeo wa gari.Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.
Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.
Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.
Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
Hii naona imesababisha ajali nyingi sana hasa nyakati za usiku au kwenye kona na miteremko mikali kama Saranda.Pamoja na mwendo kasi wa madereva wa mabasi na kutokuwa waangalifu, pia kuna swala la warning signs hasa magari yanapo haribika barabarani. Utakuta hawawezi hizo warning signs za maana, utakuta wanaweka majani/manyasi umbali mfupi sana toka gari lililo haribika. Ni muda muafaka malori na mabasi kwa lazima (compulsory) wawe na triangle zile zenye stand na zenye taa za kuwaka waka (Brinking)
Anha sawa mkuuSasa Inawezekana ungekuwepo na ajali isingetokea!!!
Impact ya ajali ina last milliseconds! Inawezekana kama ungepanda Hilo basi kutokana na uzito wako basi lingechelewa kidoooogo kufika eneo la ajali na mngesalimika,
SadJambo la kushukuru maana siku hizi kubadilishwa jina sekunde.
Ndo mamlaka. Zetu zinapofeli!!wanasemaga unaweza kuwa na vyeti lakini usiwe na maarifa.
Ukiwaona ikibidi paki pembeni kabisaa aiseeSijui ni kwa sababu ya ukubwa wa mabasi wanayoendesha..?
Watoto wengi duniani wa nini? Ili waje wayapitie Haya tunayoyapitia au?Tuphotoe kwa wingi watoto walau tuache alama.
Upo sahihi lakini pia Kuna tatizo la Tanroad na barabara zao ambazo hazina fail safe area, sehemu kama iyovi na msimba mikumi ikitokea gari limepata breakdown kwenye zile kona ni ngumu sana kuzuia ajali isitokee.Pamoja na mwendo kasi wa madereva wa mabasi na kutokuwa waangalifu, pia kuna swala la warning signs hasa magari yanapo haribika barabarani. Utakuta hawawezi hizo warning signs za maana, utakuta wanaweka majani/manyasi umbali mfupi sana toka gari lililo haribika. Ni muda muafaka malori na mabasi kwa lazima (compulsory) wawe na triangle zile zenye stand na zenye taa za kuwaka waka (Brinking)