TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

Nadhan what's app inachangia sana taarifa kuchelewa kuletwa humu, taarifa huwa zinafika huko kwanza
Mfano hii picha ya ajali mi nnayo toka saa moja asubuhi leo
Ila ujue makundi ya WhatsApp hayana watu wengi kama humu.

Isipofowadiwa itaishia kwenye hilo hilo kundi tu.
 
R.I.P.
Zamani,nilipokuwa rubani jeshini hiyo 315 ndio ilikuwa namba yangu.
Rubani wa jeshi hawatumii majina,wanatumia namba. Sijui rubani wa uraiani wanafanya vipi.
Kwa hiyo ninapotaka kufanya take-off(ninapokuwa 'njia moja') namwambia control tower,"315 take-off".
[No doubt,sasa kuna mtu ataniuliza,'Ulikuwa pilot unaitwa '315',so what?"
Halafu narudi baadaye kufanya landing,namwambia control tower,"315 traffic pattern" Traffic Pattern ndio mwendo wa mzunguko airport,kabla ndege haijatua.
Actually,mimi ni mwanajeshi,napaswa miwa kule nawashuti m23
Bange mbaya kwa kweli..

Ukiwa angani wakati wa Nav communications zote kinatambulika chombo na si Rubani.
 
Pamoja na mwendo kasi wa madereva wa mabasi na kutokuwa waangalifu, pia kuna swala la warning signs hasa magari yanapo haribika barabarani. Utakuta hawawezi hizo warning signs za maana, utakuta wanaweka majani/manyasi umbali mfupi sana toka gari lililo haribika. Ni muda muafaka malori na mabasi kwa lazima (compulsory) wawe na triangle zile zenye stand na zenye taa za kuwaka waka (Brinking)
 
Mi mwenyewe ilinikosa jana asubuhi na ndiyo maana am speechless
Sasa Inawezekana ungekuwepo na ajali isingetokea!!!
Impact ya ajali ina last milliseconds! Inawezekana kama ungepanda Hilo basi kutokana na uzito wako basi lingechelewa kidoooogo kufika eneo la ajali na mngesalimika,
 
Madereva tunaomba muwe makini barabarani, Gari ikiharibika weka alama kuonesha mbele kuna gari imeharibika.

Mzingatie mafunzo mliyopewa mafunzoni, fuateni alama zote za barabarani kwa umakini, msiovertake bila kuwa na uhakika wa hali ya mbele yako.

Maisha hayana spea. Poleni sana kwa familia zilizopata msiba.
 
Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.

Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.

Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.

Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
Kuna mambo kama upepo na msukumo wa hewa eneo husika vinachangia sana mwelekeo wa gari.

Sasa waswahili watakuambia mapepo mara majini kumbe ni msukumo wa hewa. Kunatakiwa kuwekwe vibao kuonesha hayo mambo.

Kuna maeneo kuna upepo mkali sana na hauonekani sababu hakuna miti sasa ukijichanganya ukaingia kizembe lazima uhame njia au ule mzinga.
 
Pamoja na mwendo kasi wa madereva wa mabasi na kutokuwa waangalifu, pia kuna swala la warning signs hasa magari yanapo haribika barabarani. Utakuta hawawezi hizo warning signs za maana, utakuta wanaweka majani/manyasi umbali mfupi sana toka gari lililo haribika. Ni muda muafaka malori na mabasi kwa lazima (compulsory) wawe na triangle zile zenye stand na zenye taa za kuwaka waka (Brinking)
Hii naona imesababisha ajali nyingi sana hasa nyakati za usiku au kwenye kona na miteremko mikali kama Saranda.
 
Sasa Inawezekana ungekuwepo na ajali isingetokea!!!
Impact ya ajali ina last milliseconds! Inawezekana kama ungepanda Hilo basi kutokana na uzito wako basi lingechelewa kidoooogo kufika eneo la ajali na mngesalimika,
Anha sawa mkuu
 
wanasemaga unaweza kuwa na vyeti lakini usiwe na maarifa.
Ndo mamlaka. Zetu zinapofeli!!
Zimbabwe has one of the best bus driver, na bado hawakuwahi na vyuo bora vya mafunzo kama kwetu. Nidhamu ya usalama barabarani ilikuwa kwenye damu yao. Wakati wa vikwazo, ulianza kutoka wizi wa mizigo inayobebwa na mabasi barabarani hasa kwenye matuta na rail cross, (miaka hiyo mabasi ya Zimbabwe yalikuwa Yana beba mizigo juu ya carrier) kampuni moja ikaja na suluhisho kuwa madereva wasiwe wanasimama kwenye rail cross kwa vile hakukuwepo tena train inayofanya kazi. Kilichotokea madereva waligoma kufanya kazi, Kwa msimamo wao ulikuwa hawawezi na sahihi kufanya hivo
 
Pamoja na mwendo kasi wa madereva wa mabasi na kutokuwa waangalifu, pia kuna swala la warning signs hasa magari yanapo haribika barabarani. Utakuta hawawezi hizo warning signs za maana, utakuta wanaweka majani/manyasi umbali mfupi sana toka gari lililo haribika. Ni muda muafaka malori na mabasi kwa lazima (compulsory) wawe na triangle zile zenye stand na zenye taa za kuwaka waka (Brinking)
Upo sahihi lakini pia Kuna tatizo la Tanroad na barabara zao ambazo hazina fail safe area, sehemu kama iyovi na msimba mikumi ikitokea gari limepata breakdown kwenye zile kona ni ngumu sana kuzuia ajali isitokee.
 
Back
Top Bottom