TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

Hii ajali imetokea last week bus inaitwa lujiga ilkua inatokea dsm kwenda mwanza imepata ajali malendi nje kidogo ya singida
Inasemekana iliua mwanachuo wa chuo kimoja Morogoro sijui chuo gani
 
Daaah,I'm speechless
Haifai kusambaza video za hv,ni kinyume na haki za binadamu
 
Oya hii video haijakaa sawa ungeweka tahadhari...

Hata hivyo hii ajali ilishatokea ni lile basi siku kadhaa zilizopita lilipata ajali huko kanda ya kati, ni lile basi la Mwanza Dar...

Active hii habari ya kuitoa tu hapa...
Sawa mkuu, ngoja waje wairekebishe 🤝🤝
 
Zile bajeti waliyotenga kununua v8 36 si wanunue helicopter za uokozi zinatosha kila kanda angalau kuwawahisha madaktari haraka sehemu hzi wakati gari za wagonjwa zipo njiani
Haya mawazo mkuu, hawana kabisa zaidi, Zaidi wanaza kula bata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…