EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
Alitoka salama kabsaKama dereva hajafa ni wa inatakiwa aburuzwe mahakamani kwa mauaji na afungiwe leseni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoka salama kabsaKama dereva hajafa ni wa inatakiwa aburuzwe mahakamani kwa mauaji na afungiwe leseni
Bado haijafahamika chazo ni nini mkuu ,Kama dereva hajafa ni wa inatakiwa aburuzwe mahakamani kwa mauaji na afungiwe leseni
Inasemekana iliua mwanachuo wa chuo kimoja Morogoro sijui chuo ganiHii ajali imetokea last week bus inaitwa lujiga ilkua inatokea dsm kwenda mwanza imepata ajali malendi nje kidogo ya singida
Ajali ina wiki sasa iyo sio ya leo wala janaBado haijafahamika chazo ni nini mkuu ,
Sawa mkuu, ngoja waje wairekebishe 🤝🤝Oya hii video haijakaa sawa ungeweka tahadhari...
Hata hivyo hii ajali ilishatokea ni lile basi siku kadhaa zilizopita lilipata ajali huko kanda ya kati, ni lile basi la Mwanza Dar...
Active hii habari ya kuitoa tu hapa...
Wanunue wana vichaaZile bajeti waliyotenga kununua v8 36 si wanunue helicopter za uokozi zinatosha kila kanda angalau kuwawahisha madaktari haraka sehemu hzi wakati gari za wagonjwa zipo njiani
Haya mawazo mkuu, hawana kabisa zaidi, Zaidi wanaza kula bata tu.Zile bajeti waliyotenga kununua v8 36 si wanunue helicopter za uokozi zinatosha kila kanda angalau kuwawahisha madaktari haraka sehemu hzi wakati gari za wagonjwa zipo njiani