TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

Daaah,I'm speechless
Haifai kusambaza video za hv,ni kinyume na haki za binadamu
 
Oya hii video haijakaa sawa ungeweka tahadhari...

Hata hivyo hii ajali ilishatokea ni lile basi siku kadhaa zilizopita lilipata ajali huko kanda ya kati, ni lile basi la Mwanza Dar...

Active hii habari ya kuitoa tu hapa...
Sawa mkuu, ngoja waje wairekebishe 🤝🤝
 
Zile bajeti waliyotenga kununua v8 36 si wanunue helicopter za uokozi zinatosha kila kanda angalau kuwawahisha madaktari haraka sehemu hzi wakati gari za wagonjwa zipo njiani
Haya mawazo mkuu, hawana kabisa zaidi, Zaidi wanaza kula bata tu.
 
Back
Top Bottom