Hee..... Kwaiyo Mihimili iliyobakia ni Bunge na Mahakama...View attachment 2201741
Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!
Kwann unasemanhakuna serikali ?View attachment 2201741
Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!
We ndugu vipi, basi hakuna haja ya kuwa na serikali au vyombo vya dola kama ni hivo, watu munafukiliaje aisee daaah!Kwann unasemanhakuna serikali ?
Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,
Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
nasikia gari haikua na taaView attachment 2201741
Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!aa
Kifupi alitaka kusema.Kwann unasemanhakuna serikali ?
Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,
Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
Mm mtazamo wako ni kuwa maisha yakk ni Mali yako, ww mwenyewe ndio unajukumunla 1 kulinda usalama wako hasa unapokuwa na chombo cha motoWe ndugu vipi, basi hakuna haja ya kuwa na serikali au vyombo vya dola kama ni hivo, watu munafukiliaje aisee daaah!
😂😂😂Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55kph.
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
Sasa wewe kama serikali ipo na vyombo vya dola vipo ndio nini? Kuna sheria za kudhibiti mwendo ndio ila Sio kwamba Hao watu wa usalama barabarani wapo kila hatua. Hapa ni suala la wajibu Kwa kila mmoja kama raia.We ndugu vipi, basi hakuna haja ya kuwa na serikali au vyombo vya dola kama ni hivo, watu munafukiliaje aisee daaah!
Usipinge sana Mkuu, hatuna serikali usimamizi umelegea sana awamu hii katika kila idara.Kwann unasemanhakuna serikali ?
Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,
Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
Acha upumbavu mkuu ,speed sio sababu pekee au kubwa inayosababisha ajali hizi, tatizo kubwa ni barabara zetu bado sana, ni mbovu na zimejengwa chini ya viwango na hazitoi nafasi ya kujihami ,barabara gani ina yellow line?,barabara zetu ni finyu mno pls mkuu kama una uwezo fika zambia na angalia ule mkeka unaojengwa kati ya isoka na chisali!Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55kph.
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
kumbe na wao ndiyo wanajenga saivi? Halafu wanajenga eneo hilo tu, vipi kuhusu maeneo mengine?Acha upumbavu mkuu ,speed sio sababu pekee au kubwa inayosababisha ajali hizi, tatizo kubwa ni barabara zetu bado sana, ni mbovu na zimejengwa chini ya viwango na hazitoi nafasi ya kujihami ,barabara gani ina yellow line?,barabara zetu ni finyu mno pls mkuu kama una uwezo fika zambia na angalia ule mkeka unaojengwa kati ya isoka na chisali!
Hapana mkuu, wana barabara nzuri mno ya kutoka Lusaka hadi Chilundu, Lusaka hadi Kazungula, Lusaka hadi Chipata, wapo above us kwenye UBORA wa barabarakumbe na wao ndiyo wanajenga saivi? Halafu wanajenga eneo hilo tu, vipi kuhusu maeneo mengine?
View attachment 2201741
Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!
Uendeshaji holela umezidiMbona matukio ya ajali yanaongezeka kwa kasi sana!
Kulikoni?