TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Ajali imetokea usiku?nasikia gari haikua na taa
R.I.P kwa Marehemu wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajali imetokea usiku?nasikia gari haikua na taa
Royal tour hawapo likizoHee..... Kwaiyo Mihimili iliyobakia ni Bunge na Mahakama...
Una Maana Serikali imeenda Likizo..!?
Wewe mama Nkanini leo uko siku zako?Acha upumbavu mkuu ,speed sio sababu pekee au kubwa inayosababisha ajali hizi, tatizo kubwa ni barabara zetu bado sana, ni mbovu na zimejengwa chini ya viwango na hazitoi nafasi ya kujihami ,barabara gani ina yellow line?,barabara zetu ni finyu mno pls mkuu kama una uwezo fika zambia na angalia ule mkeka unaojengwa kati ya isoka na chisali!
Mwenye kupinga na apinge ila hapa umemaliza maana pamoja na ubovu na ufinyu wa barabara zetu ila madereva hasahasa wa abiria na wa stk ikichagizwa na upuuzi wa abiria ndiyo chanzo mujarabu cha maajali na maafa nchiniUendeshaji holela umezidi
Madereva wengj ni vichaaa mkuu
Ova
Sasa mtu kashaambiwa gari haina taa ndiyo chanzo cha ajali yeye anang'ang'ana na barabara tu atakuwa kachanganyikiwa huyoWewe mama Nkanini leo uko siku zako?
Mawazo yangu hata Kama hukubaliani nayo sio sababu ya kunitukana.
Mimi sio mume wako. Jiheshimu uheshimiwe.
Kwani awamu ya marehemu hazikuwepo au mnampa sifa za uongo ili ionekane tatizo ni huyu mama?Usipinge sana Mkuu, hatuna serikali usimamizi umelegea sana awamu hii katika kila idara.
Hapana mkuu, wana barabara nzuri mno ya kutoka Lusaka hadi Chilundu, Lusaka hadi Kazungula, Lusaka hadi Chipata, wapo above us kwenye UBORA wa barabara
Kwaiyo Kila gari serikali inabidi iweke msimamizi? Ebu acha siasa za majitaka.Usipinge sana Mkuu, hatuna serikali usimamizi umelegea sana awamu hii katika kila idara.
Tatizo la barabara limekuwa ni katika awamu hii? Huko nyuma barabara zilikuwa bora? Lazima tukubali kuwa kuna mahali usimamizi umelegea.Acha upumbavu mkuu ,speed sio sababu pekee au kubwa inayosababisha ajali hizi, tatizo kubwa ni barabara zetu bado sana, ni mbovu na zimejengwa chini ya viwango na hazitoi nafasi ya kujihami ,barabara gani ina yellow line?,barabara zetu ni finyu mno pls mkuu kama una uwezo fika zambia na angalia ule mkeka unaojengwa kati ya isoka na chisali!
Majeruhi 22 na maiti 4 jumla abiria 26! Hiace, na ambao hawakupata skrachi hata kiduchu.Kwann unasemanhakuna serikali ?
Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,
Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
Asieelewa usimwambie maana,, naona wewe nd mwanasiasa majitak alaf much knowKwaiyo Kila gari serikali inabidi iweke msimamizi? Ebu acha siasa za majitaka.
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuondolea nyota zote hata JF umebaki kuruta kabisaaaa na kwa andiko hili sjui kama hata unamiliki guta?Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55k
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
Mimi, kwa maendeleo yetu duni ya kiakili na teknolojia ya kuweza kuvifuatilia vyombo vyetu vya usafiri hata vikiwa mbali, naunga mkono hoja iliyowahi kuletwa na mjumbe mmoja humu ya kutenganisha hizi barabara (magari yasipishane tena).....sijui ndo mnaita two way wenyewe au tofauti. Lijengwe lituta fulani kubwa na gumu linalotenganisha barabara ya kwenda na kurudi. Tofauti na hapo tutaendelea kumalizika kila siku na serikali kupoteza imani, labda kama nayo itumie mtindo wa kuficha taarifa.Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55kph.
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
Kwani we unaonaje , wiki 2 ni likizo ndefu sanaHee..... Kwaiyo Mihimili iliyobakia ni Bunge na Mahakama...
Una Maana Serikali imeenda Likizo..!?
ahaa sawaHapana mkuu, wana barabara nzuri mno ya kutoka Lusaka hadi Chilundu, Lusaka hadi Kazungula, Lusaka hadi Chipata, wapo above us kwenye UBORA wa barabara