Singida: Watu wanne wafariki dunia baada ya Hiace kugongana na Lori

Wewe mama Nkanini leo uko siku zako?
Mawazo yangu hata Kama hukubaliani nayo sio sababu ya kunitukana.
Mimi sio mume wako. Jiheshimu uheshimiwe.
 
Uendeshaji holela umezidi

Madereva wengj ni vichaaa mkuu

Ova
Mwenye kupinga na apinge ila hapa umemaliza maana pamoja na ubovu na ufinyu wa barabara zetu ila madereva hasahasa wa abiria na wa stk ikichagizwa na upuuzi wa abiria ndiyo chanzo mujarabu cha maajali na maafa nchini
 
Wewe mama Nkanini leo uko siku zako?
Mawazo yangu hata Kama hukubaliani nayo sio sababu ya kunitukana.
Mimi sio mume wako. Jiheshimu uheshimiwe.
Sasa mtu kashaambiwa gari haina taa ndiyo chanzo cha ajali yeye anang'ang'ana na barabara tu atakuwa kachanganyikiwa huyo
 
Hapana mkuu, wana barabara nzuri mno ya kutoka Lusaka hadi Chilundu, Lusaka hadi Kazungula, Lusaka hadi Chipata, wapo above us kwenye UBORA wa barabara

sisi tumeamua kujenga vichochoro viiingi, wakati wao wameamua kujenga barabara chache zenye ubora....Pamoja na hiyo mikeka ya Zambia and all the way to Botswana via Kazungura to SA....bado ubora wa magari na utaratibu wa kufanya biashara ya usafirishaji kwao ni tofauti....lakini pia mbona hizo Power tool zinaendeshwa hovyo na mizinga yao ikitokea huwa ni disaster...


Pamoja na yote bado kuna kitu kinaitwa diffensive driving, endesha kulingana na hali ya barabara...kwakuwa barabara zetu ni vichochoro basi na madereva nao wasijali waendeshe tu hovyo hovyo na watu wakifa tuseme barabara mbovu...
 
Mbona matukio ya ajali yanaongezeka kwa kasi sana!

Kulikoni?
Tumerahisisha sana taaluma za watu... Tumechezea sana elimu.. na haya ndo matokeo yake..
Kila mtu anaweza fanya kitu flani which is not true.
 
Tatizo la barabara limekuwa ni katika awamu hii? Huko nyuma barabara zilikuwa bora? Lazima tukubali kuwa kuna mahali usimamizi umelegea.
Naona wenye dhamana ya kusimamia wameamua kukaa na kusubiri mishahara yao ili waitwe waungwana. Wamechoka kuitwa waonevu, waporaji na wezi.
 
Kwann unasemanhakuna serikali ?


Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,

Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
Majeruhi 22 na maiti 4 jumla abiria 26! Hiace, na ambao hawakupata skrachi hata kiduchu.
 
Mkuu nimekuondolea nyota zote hata JF umebaki kuruta kabisaaaa na kwa andiko hili sjui kama hata unamiliki guta?
Unaijua Speed ya 50 kwenye Highway wewe?? Umejaribu kugooogle nchi nyingine Speed zao zikoje?? Mkuu umejivua nguo sana yani.
Pole kwa Wote waliopoteza Ndugu.
 
Mimi, kwa maendeleo yetu duni ya kiakili na teknolojia ya kuweza kuvifuatilia vyombo vyetu vya usafiri hata vikiwa mbali, naunga mkono hoja iliyowahi kuletwa na mjumbe mmoja humu ya kutenganisha hizi barabara (magari yasipishane tena).....sijui ndo mnaita two way wenyewe au tofauti. Lijengwe lituta fulani kubwa na gumu linalotenganisha barabara ya kwenda na kurudi. Tofauti na hapo tutaendelea kumalizika kila siku na serikali kupoteza imani, labda kama nayo itumie mtindo wa kuficha taarifa.

Akili zetu duni: kung'oa vyuma vya madaraja au miteremko, kushangilia speed na kutopanda magari yasiyo na speed, kumchukia traffic anayekagua gari kisawasawa, kumpiga abiria mwenza anayetoa taarifa ya uendeshaji wa hovyo, kumzawadia dereva anayefikisha gari mapema zaidi (speed) n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…