Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex.
Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu na mshambuliaji Jonathan Sowah ambaye amefunga mabao mawili katika mechi tatu za mwisho wakianzia benchi.
Kama wako serious mbona na hao wazuri tuu sema kama mifuko imajaa u GSM miguu itakua mizito kukimbia...
Mbona wametoa droo na JKT ina wazawa wote...
Shida ni mahabaaaa
Kama wako serious mbona na hao wazuri tuu sema kama mifuko imajaa u GSM miguu itakua mizito kukimbia...
Mbona wametoa droo na JKT ina wazawa wote...
Shida ni mahabaaaa