Single fathers, mothers and all singles get together party

Mungu awatangulie kwenye huo mpango wenu....
 
Kutakuwa na kukumbushia kwa niaba ya enzo hizo kwingi sana, itakuwa SLING PARTY.
 
Nitakuwa DJ.. halafu leo ninauzi wenu ngoja nikaubandike sio wa kuwatukana lakini usije ukanianzishia povu hapa lol
Hahahahaaa.. tumechoka nyuzi za kutuhusu. Leo tukumbuke mateso ya yesu. Yuda atutoe povu leo na wewe ututoe?. Not today please.
 
Ni wazo zuri hili, bilashaka baada ya miezi kadhaa single parents wa hapa jf watapungua maana wengi wao wataungana! Wito wangu tu ni kwa msio single please msituingilie kwenye party yetu!
 
Ni wazo zuri hili, bilashaka baada ya miezi kadhaa single parents wa hapa jf watapungua maana wengi wao wataungana! Wito wangu tu ni kwa msio single please msituingilie kwenye party yetu!
Mama wa S 4 nakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…