Single fathers, mothers and all singles get together party

Kuwa na amani mtumishi. Sadaka ziko mikono salama. Ingekuwa chura labda hapo ungeweza kunitilia mashaka kidogo...
Mtumishi kwani wewe mngoni? Maana watani zangu hao ndo nasikia ni waaminifu sana kwa pesa ila sio kwa 'mwananke'
 
Mtumishi kwani wewe mngoni? Maana watani zangu hao ndo nasikia ni waaminifu sana kwa pesa ila sio kwa 'mwananke'
Hapana mi si mngoni. Mimi kwa mwanamke ni mwaminifu ila kwa vyura... labda itokee tu.
 
Iitafanyikia wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…