Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
[emoji28] [emoji28]vyeti mezani usije ukafanya bashite style.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28]vyeti mezani usije ukafanya bashite style.
Mimi nitakuja kukuona colietha tu afu nasepa.kwahiyo le mutuz kakomaa akili sio? na miaka yake ile.
Nitakaa getini kukagua vidole. Nikikuta kina alama ya pete huingiiTupo... sema mim sio single ila sapoti nitawapa
Kutakuwa na kukumbushia kwa niaba ya enzo hizo kwingi sana, itakuwa SLING PARTY.Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha kufarijiana na pale mwanachama anapokiaga chama tutashiriki sherehe yake na kumfurahia.
Karibuni jamani!
Umeshaniambia natia kwenye walletNitakaa getini kukagua vidole. Nikikuta kina alama ya pete huingii
Ile alama ya pete kwenye kidole sio rahisi sana kufutika.Umeshaniambia natia kwenye wallet
Hehe.. nitavaa glovesIle alama ya pete kwenye kidole sio rahisi sana kufutika.
Tutakudaka tuu. Tuache single parents tujipunguze machungu wewe utaziba nafasi za wengine.Hehe.. nitavaa gloves
Nitakuwa DJ.. halafu leo ninauzi wenu ngoja nikaubandike sio wa kuwatukana lakini usije ukanianzishia povu hapa lolTutakudaka tuu. Tuache single parents tujipunguze machungu wewe utaziba nafasi za wengine.
Hahahahaaa.. tumechoka nyuzi za kutuhusu. Leo tukumbuke mateso ya yesu. Yuda atutoe povu leo na wewe ututoe?. Not today please.Nitakuwa DJ.. halafu leo ninauzi wenu ngoja nikaubandike sio wa kuwatukana lakini usije ukanianzishia povu hapa lol
Ni mzuri there something to learnHahahahaaa.. tumechoka nyuzi za kutuhusu. Leo tukumbuke mateso ya yesu. Yuda atutoe povu leo na wewe ututoe?. Not today please.
Big noMtu yoyote kuwa single ni kujitakia sio mwanamke tu
Note: hapa hatukutani singles tu, ila ni single mothers na single fathers. [emoji1] [emoji1]Wapi twakutana ..
Singles
Mama wa S 4 nakuonaNi wazo zuri hili, bilashaka baada ya miezi kadhaa single parents wa hapa jf watapungua maana wengi wao wataungana! Wito wangu tu ni kwa msio single please msituingilie kwenye party yetu!
Hatutaki totoo zije kwenye party ya watu wazima![emoji1][emoji1][emoji1]Kwanini 25 kuendelea?
Asa mi nakuja tuone kama mtadai cheti