Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe

Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu.

Ajabu ni hii amezalishwa na mume wa mtu na mbaya zaid anaishi na kijana ake basi kila akinipigia simu anasema mwanao amekumiss anataka kuongea na wewe hata wakuu sielewi nimuanzaje tu kuwa mm sina mpngao wa kumuona, yey anajuwa kbsa mm nakao ati akisha waeleza had shangaz zake kuwa kanipata hvyo nisubiriwa tu mm nikajiatambulishe kwao.

Wakuu nitumie njia ipi kumuambia tu kuwa siwez kumuoa, tena yey ni mmpare na mm na wapare na wa rangi wapi na wapi.

Jana anasema shanagzi ake ananiulizia lini nakuja kuwasalimia
 
Mbona fresh tu kaka, yaani unapata na bonasi ya katoto ka bure!!

Makabila si tija, umalaya kwa sasa ni hulka ya mtu binafsi.
Chukua chombo hicho tena huyo atakupenda balaa maana si kashapitia misukosuko ya mahusiano kuliko ukipata mpya.
 
Ilikuaje mpaka akaanza kukuita mume ?
1000014203.jpg
 
Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe

Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu. Ajabu ni hii amezalishwa na mume wa mtu na mbaya zaid anaishi na kijana ake basi kila akinipigia simu anasema mwanao amekumiss anataka kuongea na wewe hata wakuu sielewi nimuanzaje tu kuwa mm sina mpngao wa kumuona, yey anajuwa kbsa mm nakao ati akisha waeleza had shangaz zake kuwa kanipata hvyo nisubiriwa tu mm nikajiatambulishe kwao

Wakuu nitumie njia ipi kumuambia tu kuwa siwez kumuoa, tena yey ni mmpare na mm na wapare na wa rangi wapi na wapi

Jana anasema shanagzi ake ananiulizia lini nakuja kuwasalimia
Ni upuuzi tupu.

Huyo single mother alikuja nyumbani kwako na kukulazimisha kwamba umuoe au wewe na njaa zako ulimuanza wewe mwenyewe huyo mwanamke?!?
 
Mwambie ukweli mapema, isije kuwa too Late,,,, ! Kama unashindwa, jaribu kummbadilikia taratibu, nifanye kama una mahusiano mengine,,,uone response yake, kamwe usimletee dharau ,,,,, muache taratibu ajikute amepoteza hisia na wewe,,,,, usikubali sana kumpa mda wako like texts, calling 📞 n.k ! Au ukiongea nae jitie busy, ,,,atakusahau tu ! Mwisho usicheze na hisia za mtu
 
Back
Top Bottom