Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Usituongopee hii kuitana mume mume, haijaanza ghafla tu Kuna taarifa za upande wako umezificha. Tuletee huyo mpare tuongee naye. Kuna terms na condition ulizitoa mwanzo. Sasa ni zamu yako. Anyway mmeisha chunguliana?
Nimefikiria hilo pia,
Hakuna taarifa kamili za huyu jamaa, aseme kwanza ilikuwaje akaanza kuitwa 'mume wangu'?
Kuna mahali walikoanzia hadi kufikia huko!
 
Mbona fresh tu kaka, yaani unapata na bonasi ya katoto ka bure!!

Makabila si tija, umalaya kwa sasa ni hulka ya mtu binafsi.
Chukua chombo hicho tena huyo atakupenda balaa maana si kashapitia misukosuko ya mahusiano kuliko ukipata mpya.
Mpya ni bora kuzidi used.
 
Kweli mkuu natetemeka mbaya haw mademu wananifuruga
Mkuu mkimbie unajua ukioa mwanamke aliezaa na Mume wa mtu anakuletea dhambi na hiyo zambi itawagharimu kizazi chako mbele mwao, mfano kama huyo kazaa na mume wa mtu kwa udangaji kaa ukijua na watoto wako wakike watakuja kuzaliwa na wauni au waume za watu ndiyo inakuaga hivyo, na kama wewe uliwazalisha mabinti wa na wewe wako watazalishwa Nyumbani.
 
Ulitumwa.uwe na mahusiano naye? Au alikushikia bunduki?. Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom