dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #101
Mm napata awe mchepuko ile yeye anataka kujiweka kbsa kbsa yaani nawaza kuolewaMaisha ni haya haya, kama anatuliza nafsi yako na wewe umerizika mfanye mchepuko ila usimfanye mke. Na umwambie una mke au mchumba yuko masomoni n.k ili asikugande sana.