Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Awali ni awali, hakuna awali mbovu! Huo ni mtumbwi wa vibwengo! Kimbia mkuu.Jamaa muda wowote anapasha kiporo moto.
Umesahau kama na wako anaweza kua na yule wa wanawake 400[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo mkuu ana mwonekano amekupenda kweli kama vp mchukue tu ameshajifunza maisha ya misukosuko kwako atatulia japo tahazar single maza wengi hawawezi kuachana na mzazi mwezie waliozaa nae lazima atakuwa anapasha kiporo
Hata huyo wako ni 379 kati ya wale 400[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku nilienda dukan, mwenye duka alikuwa sista flan wa makamo kidog, nikamwambia nahitaj mkate akanambia mikate imeisha.

Sasa ile nataka kuondoka akaniuliza "flan ni mama ako?" nikamwambia ndio, akanambia "naomba unioe".

Mi nilishangaa kwakwel coz mi na yeye hatujazoeana hata jina simfahamu ila kufupisha story nikwamba nilimweka kwenye friendzone ili nimfahamu vizur. Nikaja gundua baada ya kusimuliwa na mama ndo nikaambiwa kuwe huyo sista na bimkubwa ni marafik na yeye huyo sista aliachika ni single mother ana mtoto mmoja.

Nilivogungua hivo nikaanza kumkaushia mazima had sasa. Ila namuonea huruma sana.
Unamuonea huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimetumia njia hyo bado kinganganizi najuwa alipenda nyumba yangu ameona na jenga karibu na kwao wakajuwa kbsa huyu huyu na mbaya zaid ni mvivu ila ana tarako kubwa
Kwahio wewe kula tarako kuoa aaaaaa
 
Faida za single mam wangu nai kama zifuatavyo

Kwanza ana tako zuri
Hana kitambi
Anajuwa kunyonya ndonga vzr sna
Anajuwa kuto bana na kutoa milion aina mbalimbal
Ni mzuri wa sura

Hasara zake ni mvivu

Hajui kutafuta pesa
Hana idea nzuri ya kupiga pesa au biashara

Yey naamin kuolewa na kushinda nyumbani tu na kufua na kudenki yuko vzr

Hana big a
Idea
i
Well, hapo kwa sisi vijana tutaona faida alizo nazo ni nyingi japo on a serious note, hizo hasara ulizotaja ni kubwa mno kuliko faida. Km ni wa kumla tu km side chick sawa endelea nae, ila km ni kuoa, mteme kabisa,

Hamtokula ilo tako zuri wala, milio mizuri ya chumban haitoleta pesa. Usije ukawa mtumwa wa mapenz mzee. Fanya chaguzi sahihi apo.
 
Huyo ni mnyonya damu pro max, eti ongea na mwao 😂😂
20241107_162737.jpg
 
Kuna demu mmoja nilikuwa mgahawani local food areas napiga chips dry nikawa namsalandia yule demu kumbe ni single mother namsikiliza mtoto analea mwenyewe nikaona hapa matatizo I Can never date single mom yaan ana stress kama Zote mwanaume kama unajitambua you have to make your own empire
 
Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe

Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu.

Ajabu ni hii amezalishwa na mume wa mtu na mbaya zaid anaishi na kijana ake basi kila akinipigia simu anasema mwanao amekumiss anataka kuongea na wewe hata wakuu sielewi nimuanzaje tu kuwa mm sina mpngao wa kumuona, yey anajuwa kbsa mm nakao ati akisha waeleza had shangaz zake kuwa kanipata hvyo nisubiriwa tu mm nikajiatambulishe kwao.

Wakuu nitumie njia ipi kumuambia tu kuwa siwez kumuoa, tena yey ni mmpare na mm na wapare na wa rangi wapi na wapi.

Jana anasema shanagzi ake ananiulizia lini nakuja kuwasalimia

Wakati unamtoa chupi ulikuwa walalamika hivi?
 
Maisha ni haya haya, kama anatuliza nafsi yako na wewe umerizika mfanye mchepuko ila usimfanye mke. Na umwambie una mke au mchumba yuko masomoni n.k ili asikugande sana.​
Mm napata awe mchepuko ile yeye anataka kujiweka kbsa kbsa yaani nawaza kuolewa tu
 
Back
Top Bottom