Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

mbaya zaid anaishi na kijana ake basi kila akinipigia simu anasema mwanao amekumiss anataka kuongea na wewe hata wakuu sielewi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu unapewa mtoto we hutaki? Wenzio wanatafuta hata mtoto wa dawa hawampati wewe umeokota dodo kwenye mlimao halaf unaleta pozi
 
-Tatizo ni 'usingo-maza' au tatizo ni Upare/Urangi?
-Una umri gani?(isijekuwa maziwa uliyonyonya bado hajakukauka mdoni).
-Kwa maelezo yako akili yako bado haijakomaa vya kutosha kuingia kwenye ulimwengu wa kuishi na mwenza.
 
Huyo mkuu ana mwonekano amekupenda kweli kama vp mchukue tu ameshajifunza maisha ya misukosuko kwako atatulia japo tahazar single maza wengi hawawezi kuachana na mzazi mwezie waliozaa nae lazima atakuwa anapasha kiporo
 
Mmekutana masingle mother mmegandana. Mwanaume hawezi kuja omba ushauri kama huu. Kuna siku mwanaume atakutongoza atake kukuoa utakuja omba ushauri huku. Hiki kizazi cha 2000s ni shida sana. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…