Single Maza kiboko ya Wavulana


Mkuu uishi Maisha marefu

Shukrani
 
Ni kweli, Asilimia kubwa ya Single maza wanaingia ndoani kwasababu ya mtoto/watoto wake,... Ukitaka kumuoa Single maza lazima atakuuliza JE MTOTO WANGU?, yaani kuhusu swala la mtoto wake hawezi kuliacha, hio ni dhahiri wanaolewa kwasababu ya mtoto/watoto wake, ila upendo hakuna,.. Wanaolewa ili kupata hifadhi, Single maza ni waongo sana tena sana

Mimi nilikua tayari kuoa singo maza, akasema baba mtoto alimkataa toka akiwa mjamzito, kwahio hana ishu nae... Aloo nikawa nafanya mchakato wa ndoa nikijua kweli,.. Kwa bahati nzuri au mbaya nikapata safari kikazi mkoani... Miezi miwili tu...

Kaka ile siku narudi eti anataka tendo, nikamwambia lazima tupime kwanza je unaniaminije nilikotoka, hakupenda.. Kesho napewa fununu ana mimba... Kuuliza yanani.. Kumbe ni lile senge lake la mwanzo.... Aisee singo maza washenzi sina hamu nao mbwa hawa
 
Hiyo paragraph yako ya pili ifute,kuna mabinti kibao wanadate na waume za watu huku wakijua kwamba ana mke wake wa ndoa,ina maana huyu kesho akiwa single mother utasema bahati mbaya?
 
Pole Sana mkuu
 
Alitaka kukubambikia mtoto na Mungu hasinge kuonyesha mapema angekuwa ana zaa na huyo mwanaume kimya kimya bila wewe kujua mwisho wa siku watoto wote wangekuwa siyo wako lakini unaishi nao na kuwalea ukiamini ni wako.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wao ni waongo. Mimi nimeacha naye mmoja mwaka huu, kwanza yeye kunipa penzi hataki halafu anata nimpe huduma kama mke wangu wa ndoa, lakini mimi nikimuitaji hataki, kwa jinsi alivyo niambiaga kuhusu baba mtoto wake na mimi nilivyo chunguza nikajua huyo muongo kwasababu alinionyesha picha ya baba mtoto wake huyo sawa kumri na mimi wote vijana wote tuna fanana mwili wote wembamba, kumbe huyu aliye nionyesha siyo baba mtoto inaonekana alimsingizia mimba jamaa haka ikataa, kumbe baba mtoto mwenyewe mwenye mtoto ni mzee umri wa wazazi wangu iligundua hilo baada ya kuniambia baba mtoto kafariki sasa huyo baba aliyefariki ndiyo nikamjua zaidi kupitia dada yake huyo single mother akaniambia na picha zake nikaziona stastus ni tofauti na yule nilioyeshwa mwanzo.
 
Mimi sio WA nadharia Tu hata vitendo nimefanya pia

Nimeoa single Maza na ninajua uzur wao,ndio maana napinga kampeni zenu mbaya juu ya hawa wanawake

Kama hupendi kuoa single Maza Acha Ila si vizuri kuwafanya waonekane hawana maana
Pole saana mkuu
 
Pole mwaya

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kudate na single mother inabidi uwe jasusi haswa UTAFAIDI

ila ukiwa sio jasusi UTALIA SAANA
 
Kudate na single mother inabidi uwe jasusi haswa UTAFAIDI

ila ukiwa sio jasusi UTALIA SAANA
Single mother mwenye njaa siyo mzuri husiingie naye kwenye mahusiano, ukiona single mother anasema mimi ndo baba mimi ndio Mama huyo husiingie naye kwenye mahusiano ni bora single mother mwenye kipato chake na baba mtoto ana mlea mtoto wake single mother huyo ndiyo mzuri kwakuwa utakuwa unamjua Baba mtoto na mnajuana.
 
Single mother ni single mother tu. Awe na kipato au hana. Akili zao ni Kama za baba na mama mmoja.
 
Ila hiyo heading ya uzi nzuri sana.

SINGLE MOTHEE KIBOKO YA WAVULANA. Kweli wale ni Kibiko.
 
K
Kama we ni single mother sawa na kama uneoa single maza pia sawa.

Sisi tutasimamia msimamo ule ule hata tuitwe majina gani.

Ukioa single mother we ni Looser tu.
 
Msimamo ni ule ule single mother hawafai
Wasije wakatudanganya na maneno mengi.

Na hii iwe komesha upuuzi. Wakijiona wazuri basi wanagawa K zao hovyo hovyo wakiachwa ndio wanatutafuta sisi Mahendsome tuliokosa matunzo.
 
Katika kikao cha wanaume, mwenyekiti alisisitiza kuwa na marufuku kuoa single mama na akafunga na kikao. Hatuwezi kwenda kinyume na makubaliano. Man, keep yourself away from single mama.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…