MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe jamaa unalipwa Tsh ngapi na single maza?Kwahiyo wewe hujapenda mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa unalipwa Tsh ngapi na single maza?Kwahiyo wewe hujapenda mkuu?
Ni ustadh wa mchongo....Huyo kawa Muislam kuanzia lini? Au kasilimu hivi karibuni?
Mi pia ni muhanga wa hao watu na sitaki hata kuwasikia ila sina bifu nao, japo roho inauma kuwa mbali na mwanangu ila hamna namnaMkuu Etugrul Bey
Kuoa single mother hakukufanyi kuwa mwanaume wa shoka.Unaowaita wavulana eti kwakuwa hawataki kuoa au kuwaponda single mother huenda wanajua mengi kuhusu single mother kuliko wewe
Mkuu kama umeoa au unataka kuoa single mother wewe oa tu ila usijipe cheo cha kuwa utakuwa mwanaume wa shoka baada ya kuoa used.
Waoaji wa single mother ni wanaume wasiojiamini, wanapenda mtelezo na kujipa mamlaka kwa wanawake hao kwakuwa wanajua wamepata wanawake waliokata tamaa, wasiojiamini na wapo tayari kuolewa na yeyote yule ilimradi tu anapumua.
Wewe mpuuzi uliyeamua kuoa hao usituingize sisi kwenye upuuzi huo eti kwakuwa tukioa used tutaonekana wanaume wa maana.
Boss huko nikutumia hisia sasa, nikishapenda ndio itanisaidia nini. ila hata siku moja mwanaume hatoi maamuzi kwa hisia, kama wewe ulivyotumia hisia zako kumdefine wanaume wenzako kuwa ni wavulana. Ni kama vile umesema,najisikia kuwa wanaume wanaofanya hivi ni wavulana. Hizo ni hisia boss, tumia logic.
Acha kulialia tafuta hela kijanaacheni kuwatupia lawama vijana, maana kijana akishindwa kuisupport hiyo familia lawama zote ni kwake na hamna mtu atakayejali anawatu wangapi nyuma wanamtegemea.
Uishi Maisha marefuMi pia ni muhanga wa hao watu na sitaki hata kuwasikia ila sina bifu nao, japo roho inauma kuwa mbali na mwanangu ila hamna namna
Wewe jamaa unalipwa Tsh ngapi na single maza?
Huwa napenda haki na daima nitasimamia katika hakiWewe jamaa unalipwa Tsh ngapi na single maza?
Single Maza ni binadamu kama wengine,wapo wema na wabayaKinachochekeshe kwenye huu uzi ni pale mtu anasema single mother ana akili..
Sijasema hawana akili ila kama kuwa single mother ndio kuwa na akili inafirikisha kidogo..
Single mother ni mwanamke
alipewa mimba na mwanaume mwingine hawa ni changamoto labda tu kama mwanamume huyo alikufa..otherwise ni usijaribu kabisa kuna jirani alioa single mother nilimuhurumia sana hatimaye akafa kifo tata sasa wanaume ndio wanapishana kama kariakoo
Kila la kheri. Never drop the ballMtuache wengine tushajikubali na usingle mama wetu na hatuna habari na ndoa na wala hatuzifikirii achilia mbali kuzitaka
Kikubwa kwetu ni afya , furaha na uwezo wa kutimiza mahitaji ya watoto wetu basi,
Kila mtu anaishi na kupewa kwa kile anachostahili
So sisi single mama tumewepa kile tunachostahili,haina haja ya kuumia kwa maneno wanayoongea waja ,wala kujishusha thamani na kufikia point ya kutamani au kujifananisha na hao wenzentu ambao si single mama ,walio kwenye ndoa zao na waume zao
Kila mtu anaishi kwa nafasi yake na hii ndo nafasi yetu
Tulishapewa watoto na ni wa kwetu na tushukuru kwa uwepo wao (amna kujuta eti kwanini ilitokea mimi nikawa single mama)
Kubakwa,mjane,kutalakiwa au kutelekezwa vyovyote vile tusianze kujutia mpaka tukajiona hatustahili kwenye jamii
Khaa ebu tuishini maisha yetu na watoto wetu ACHANENI NA HAWA WAJA WA MUNGU
Ndo ishakua sasa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kweli kabisaSingle Maza ni binadamu kama wengine,wapo wema na wabaya
Aliye mbaya ahukumiwe Kwa ubaya wake
Na mwema Kwa wema wake
Kwakufanya hivyo tutatenda haki daima.
Kuna singomother ni mchepuko Wangu Niko nae kwny mahusiano mwaka wa 2 Sasa.
Mengi mabaya yanayozungumzwa humu jf khs singomother siyaoni kabisa kwake.
Ana nafuu sana kuliko hata mamaJ wangu ambae ananipasua kichwa kila kukicha.
Zaid Zaid Mimi Ndo nampasua kichwa huyu singomother.
Mi nadhan suala la usumbufu Ni tabia TU ya mtu.
🤣🤣🤣🤣Wewe jamaa unalipwa Tsh ngapi na single maza?
SAHII kabisa chief((Mi nadhan suala la usumbufu Ni tabia TU ya mtu.))
Nakazia hii kauli yako
Shukrani
Huo ndio mtihani walionao single mother wengi
Cha muhimu kila mmoja ajue anaweza akakosea kwenye maisha. Mimi naona bora single mama kuliko mtoa mimba. Mwanamke aliyefanya abortion hafai kuolewa na anastahili kutengwa. Single Mama ni mtu mwenye utu kumleta kiumbe duniani. Ila katika kundi lazima washenzi pia wawepo. Sijajua kama kuna sababu za kisayansi ila single mama wengi wanashindwa kujizuia kutofanya mapenzi na waliowazalisha. Hili jambo limekuwa kikwazo kikubwa kwao kuaminika. Pia single mama wengi ni watu waliokuwa na viburi sana kabla hawajazalishwa na kutelekezwa. Yaani utakuta kijana yuko serious lakini binti anajibu jeuri kuwa wewe sio type yangu. Akishatelekezwa ndo anataka amkubalie jamaa. SINGLE MAMA SALAMA KWA KUOA NI AMBAYE MUMEWE YUKO KABURINI. Hawa wengine pasua kichwa.
((Mi nadhan suala la usumbufu Ni tabia TU ya mtu.))
Nakazia hii kauli yako
Shukrani
Swali ni moja tu..Single Maza ni binadamu kama wengine,wapo wema na wabaya
Aliye mbaya ahukumiwe Kwa ubaya wake
Na mwema Kwa wema wake
Kwakufanya hivyo tutatenda haki daima.
Kama uko kwenye kampeni ya kuwatetea,shida inaaza kwa hao walio pata ndoa tayari ndio wanawajengea ulakini.Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Swali kwenu wavulana hao ambao sio single Maza mnao chapiwa kwenye ndoa zenu hawana mawifi pande mbili? Hawana wakwe pande mbili? Na Hadi mnachapiwa hivi nyie mnaakili kweli?
Sikilizeni nyie wavulana tofauti ya single Maza walio zalishwa na wake zenu walio zalishwa ndani ya ndoa zenu na wanaume wengine ni moja Tu, mawifi na wakwe WA single Maza wanajulikana tayar ila nyie WA kwenu hawajulikani bado, kwahiyo msishupalie Sana kauli zenu juu ya single Maza wakati nyie mnalea watoto ambao sio wenu!
Mfano mzuri ni Yule mchungaji na katibu,nadhani mmeona alioa mwanamke sio single Maza lkn watoto Kwa mwonekano wanaonekana sio WA mwenye mke,sijui mmenielewa vizuri hapo? Kwahiyo msiwa nyanyase masingle Maza coz hawa kupenda kuwa hivyo Ila ni mazingira Tu sometime Yana wafanya wajikute katika Hali hiyo.
Mnawasema vibaya Sana single Maza,je nyie Hamna wadogo zenu WA kike au dada zenu WA kike,je shangazi zenu au mama zenu wadogo? Mnapinga kabisa wasiolewe,ebu chukulia ndio mdogo wako au dada yako je ungependa aziniwe tu kila siku Bila kuolewa?
Kutwa kucha mnashabikia upumbavu tu dhidi ya single Maza, mapovu yanawatoka kisa mnawapiga Vita single Maza wa watu Tu tena saa nyingine nyie ndio sababu ya wao kuwa single Maza. Ebu acheni huo upuuzi mara moja, kuna wengine wamebakwa na wengine ni manyanyaso ya kijinsia halafu nyie mnaongea ujinga Tu dhidi Yao!
Kwenu wanaume unapo amua kumuoa single Maza basi hakikisha unapenda na watoto wake, hakuna mwanamke anayependa kuishi mbali na mtoto wake, huwa wana majonzi Sana baadhi ya wanawe wanaishi vizur halafu mwanae mwingine sijui yupo kwa mjomba huko au shangazi hata kula yake ni shida, halafu unategemea utapewa penzi zuri na mkeo wakati humpendi mwanae? Hayo mahaba ya kukupa wewe yatatokea wapi wakati unabagua wanawe?
Wanaume wenzangu mjitafakari sana na mfanye mkeo afurahie uwepo wa wanawe wote ndani ya familia moja, wanaume Mungu awape Maisha marefu.
Ni hayo Tu!